PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Miaka Minne ya Rais Samia Imeimarisha Haki za Binadamu

PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Miaka Minne ya Rais Samia Imeimarisha Haki za Binadamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametekekeleza kwa vitendo haki za binadamu

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Waziri Ndumbaro amesema hayo Machi 19, 2025 Jijini Dar Es Salaam wakati wa ufunguzi wa kiokao kazi cha kupitia mkataba wa Afrika wa haki za binadamu na watu pamoja na itifaki ya maputo.

Amesema kuwa kupitia falsafa ya 4R imewezesha serikali ya awamu ya sita kutekeleza kwa vitendo haki za binadamu yaani, Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga upya Tanzania.

 
Back
Top Bottom