Waziri Nape: Siasa ni michezo wa akili nyingi, Rasmi mmethibitisha I am super clean

Kuna mambo ya maana zaidi yanatupita tukiendelea kumshambulia Nape, mambo yanayogusa maisha yetu kwa karibu zaidi.

- Kupanda nauli za mabasi.

- Mgao usiokwisha wa umeme.

- Ile miundombinu iliyokuwa inaharibiwa na mvua zilizonyesha hivi karibuni.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Yafanye tutaonge ifatwe nayo.. huwezi lasimisha watu wawe sawa...
 
Kuna mambo ya maana zaidi yanatupita tukiendelea kumshambulia Nape, mambo yanayogusa maisha yetu kwa karibu zaidi.

- Kupanda nauli za mabasi.

- Mgao usiokwisha wa umeme.

- Ile miundombinu iliyokuwa inaharibiwa na mvua zilizonyesha hivi karibuni.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tunawaachia ninyi maana watz ni kama kenge mpaka watokwe damu ndo wa react.... mshasemewa weeeh mkawaita chadomo na wasaliti sasa acha wakaushe mpaka mseme
 
Heading ya Uzi huu ni majibu ya Waziri Nape akimjibu mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Bilionea Sugu aliyemlaumu kwa kutosikiliza ushauri wake

Nape amesema Siasa ni Mchezo wa Akili kubwa na tayari Ufipa wameuvaa mtego

Chanzo:. Mtandao X
Screenshot_20231214-011623_X.jpg
 
Back
Top Bottom