Waziri Nape Nnauye kuongea kupitia Clouds FM Leo katika kipindi cha XXL

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Waziri Nape Nnauye ataongea na Clouds FM ikiwa baada ya Masaa machache taangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano kupiga Simu Clouds TV katika kipindi cha 360 kinachorushwa asubuhi na si Mara ya kwanza kwa Rais kupiga simu Clouds.

Clouds FM taangu ichukue majukumu ya TBC imekua ikifanya vizuri. Kwani TBC wameshindwa hata kupigiwa simu na kutakiwa heri ya mwaka mpya.
 
Kuna tatizo kubwa hapa nchini...yaani ukiona media ya Taifa ambayo viongozi wa serikali ndiyo wanabidi kuitumia lkn wanaikwepa basi kuna tatizo kubwa.

Sasa linganisheni na kwenye Elimu uniambie kama viongozi wenu wanaweza ata kuwasomesha watoto wao kwenye hizo shule,....the same to hospitals etc...

Swali jingine nitawauliza kupitia PM
 
yan hii nchi yetu tuna matatizo saaana hakuna aliye mzalendo kwakwel.. sasa wameacha tbc zote zile mara international, tbc2, tbc fm, tbc taifa, tbc one hahahah this is pumbav pumbavv..
 
Waache Kazi wajukuu, vitukuu na vilembwe vyao vilivyopo majumbani mwao utawalisha Wewe?
Halafu hawa 360 si ndio walituambia tukauze ice cream ili tulipe loan board ina maana muheshimiwa sana alimsikia yule mtangazaji halafu kapiga cm kweli !? Genta kweli zis is not fea..!
 
Me tbc nasikilizaga matangazo ya mpira tu nikiwa kijiji kwa bibi , ukiisha na mm nazima redio.
 
Back
Top Bottom