Waziri mwingine wa Kikwete katika kashfa

Yaleyale aliyokuwa akiyasema kaka yangu Lusekelo, Waziri anafuatwa na maswali ya msingi lakini hatoi majibu na badala yake 'anamfundisha kazi' mwandishi kwa kumuelekeza akaandike kile anachotaka wananchi wajue na sio kile wanachotaka kujua! Kazi bado ni ngumu ndugu zangu.
 
Ndugu yangu Mtanzania,

Tanzania ni shamba la bibi, kila mtu akipata nafasi anavuna apendavyo. Swala la hizo gharama nilikuwa nime-reserve comments zangu na ndio maana nikasema tutaingia hasara mara 2.

Kama NHC ingekuwa inatengeneza faida ya mabilioni, ningeweza kuona kwamba it is worthy it, lakini wako choka mbaya. Hela za kujenga nyumba mpya hawana. Hela za kukarabati nyumba alizojenga Nyerere na zile tulizowadhulumu wahindi, hakuna. Leo Wizara inakwenda ku-spend shilingi milioni 70 kwa ajili ya kumpata MD/DG wa NHC!

Mimi ninafikiri kwamba Idara Kuu ya Utumishi wangeanzisha kitengo ambacho kingekuwa kina deal na kufanya recruitment ya watu kama hao badala ya kupoteza mamilioni ya fedha kwa kampuni binafsi. Tanesco nao wamefanya hivyo, lakini sijui wametumia fedha kiasi gani. Ni system nzuri inayosaidia kupata mtu mwenye sifa zinazotakiwa, but gharama zake zinakuwa inflated sana.
Nafikiri Takukuru na spidi walionayo sasa hivi watamwita Chiligati kwa Mahojiano innfact na Magufuli kwa ile tenda ya Samaki, halafu magufuli ilikuosha uso anasema mtakula samaki bure.
Yeye huyo na Mabillioni, naona mwaka huu atajenga ma St Joseph Mengi? kwa Ukarimu wa Magufuli and Family.
Chilligati yeye naona sio nyangumi wala Papa , Yeye atakuwa Sangara.
 
Ama watanzania tulio wengi ni mazezeta au tumerogwa. Hakuna mantiki usaili kutumika mapesa hayo nasi tunaendelea na maisha kama hakuna kilichotokea. Hivi mpaka litokee jambo gani ndio tuamke na kusema sasa basi? Hivi NHC shirika ambalo hata usimamizi wa nyumba zake unasuasua, utaratibu wa kumpata mkurugenzi mkuu nao unahitaji mihela mingi kiasi hicho? Hivi hawa jamaa nchi wanaipeleka wapi? Hata majibu yao ni ya kijeuri jeuri tu! Inaelekea tumeamua kusalimu amri na kukubali kuwa sasa tunatawaliwa na "ufalme" au "usultani" manake hawataki kuulizwa jambo lolote utadhani hii nchi ni mali yao! Itafika mahali tutalazimika kuwafyeka...Mungu apishie mbali.

kaka wewe wasema, Watanzania wengi wamelala usingizi wa Mende-----pono nafikiri
 
Its a shame indeed. Milioni 32 ambazo mimi na wewe tunazililia kuteketea. Mwenzio ni posho ya mwezi mmoja au miwili ukipiga hesabu ya haraka. So its peanuts why waste time. Halafu inawezekana kuna watu wana interests zao na wanataka kuchomekewa mtu atakayewafaa ili mambo yao yaende hapo lazima jamaa atakuwa amechukua hela nzuri ya kampeni mwakani. Tanzania bila rushwa haiwezekani.
 
*Inahusu zabuni ya kumpata bosi mpya NHC
*Alipuuza mapendekezo ya Ernst & Young

NA MWANDISHI WA RAIA MWEMA

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kapteni (mstaafu), John Chiligati, amejitumbukiza katika kashfa mpya ya kupuuza kazi iliyofanywa na Kampuni ya Kimataifa ya Ernst & Young iliyolipwa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kuendesha usaili wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), imeelezwa.

....


CHILIGATI: “Nakwambia…sikiliza bwana…watu hawana shida ya kujua hayo yote, wewe nenda kaandike kwamba mchakato unaendelea na hivi karibuni na hasa mwanzoni mwa mwezi Novemba, mkurugenzi mkuu atatangazwa…nitamtangaza mkurugenzi mkuu…sawa

....


Chiligati bwana,

Watu wana shida na kila sababu ya kuyajua yote haya. Hivi Kikwete ameacha kusoma raia mwema?
 
Acha jazba "waandishi" walimpigia simu na si kumfuata Dodoma.

Back to the mada, waziri sio rubber stamp awe anaidhinisha kila kitu tu, kama hajaji ridhisha anaweza kuachana na huo ushauri wa "kitaalam" vilevile, so tuliza ball kijana bongo tambarare!

Fine. Aeleze sasa ni mapungufu gani aliyoyaona. Na si kusema "watanzania hawahitaji kufahamu yote hayo". Huyu Waziri ni mfano halisi wa Serikali na maafisa wake walivyo. They are just like that. In my opinion, they all deserve to die. Why not? Mimi ninafikiri ni wakati sasa wa kuchukua hatua. Kill all of them, one by one. They are wasting our time. Anybody in?
 
KWASASA HATA WAZIRI AKIJA AMELEWA KAZINI NI RUKSA NANI ATAMUULIZA NA WAO WAPO JUU YA SHERIA."time will" kama tunakutana na majibu ya kina Chiligati,Sofia Simba ,Waziri Masha ,na wengine wengi ni juu yetu Watanzania.namkumbuka Mwalimu Nyerere Aliwahi kusema Ukiwaongoza WATU UPONDAVYO WAKIKUCHOKA WATAONA BORA WAMPE MADARAKA KICHAA AMA CHIZI KULIKO WEWE.ole wenu CCM mlochoka kutawala wanaowadanganya wana uraia wa nchi zaidi ya moja lakini nyie tutabanana hapa hapa.
 
Ifike wakati ndugu zangu watanzania kama wazalendo wameshindwa kuongoza nchi yetu, tujibinafsishie!! Kila mtu achukue chake, ijulikane moja (seriously wadau)!! Natamani sana VIT**, tupunguzane wenyewe kwa wenyewe pengine tutashika adabu na kizazi kijacho kitafaidi matunda ya damu yetu!!

Roho inaniuma sana haya madudu yanapotokea!!
 
Back
Top Bottom