Waziri Mwijage akana kuhusu kuizungumzia video ya Clouds inayosambaa

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,501
119,449
Waziri Mwijage akikanusha ujumbe wa Twitter ambao ulionyesha kuwa ulitoka kwenye akaunti yake kuhusu suala la Makonda kuonekana akiingia kwenye ofisi ya Clouds Media na askari.

Sasa ni nani aliyezusha hiyo kitu kuwa Mwijage ndo kaandika hivyo? Mwijage kasema yeye hana kabisa akaunti huko Twitter.

Watu bana....

c647465b7647d28e8a749c4bbdb55894.gif

Gwajima na sisi tutaruka RUKA kama vile tunapaa kwenda Mbinguni tukisia makonda kaachishwa kazi. Ndicho tunachokisubir
 
Boss Nyani Ngabu bado tu unamtetea RC wa Dar? Salary Slip anakutafuta kwenye Uzi wake, anataka ukamjibu.

Toa maoni yako juu ya Uvamizi basi.

Waziri Mwijage akikanusha ujumbe wa Twitter ambao ulionyesha kuwa ulitoka kwenye akaunti yake kuhusu suala la Makonda kuonekana akiingia kwenye ofisi ya Clouds Media na askari.

Sasa ni nani aliyezusha hiyo kitu kuwa Mwijage ndo kaandika hivyo? Mwijage kasema yeye hana kabisa akaunti huko Twitter.

Watu bana....

Waziri Mwijage akikanusha ujumbe wa Twitter ambao ulionyesha kuwa ulitoka kwenye akaunti yake kuhusu suala la Makonda kuonekana akiingia kwenye ofisi ya Clouds Media na askari.

Sasa ni nani aliyezusha hiyo kitu kuwa Mwijage ndo kaandika hivyo? Mwijage kasema yeye hana kabisa akaunti huko Twitter.

Watu bana....

Sina account ya Twitter na sija 'tweet' kitu kama hicho. Wataalamu wa lugha na great thinker hebu dadavueni hiyo statement, kweli mheshimiwa Mwijage si mtumiaji wa Tweeter?
 
Boss Nyani Ngabu bado tu unamtetea RC wa Dar? Salary Slip anakutafuta kwenye Uzi wake, anataka ukamjibu.

Huyo nyumbu nishamjibu na hana kabisa hoja. Kabaki kuwa emotional tu. Hana mpango.

Toa maoni yako juu ya Uvamizi basi.

Huo kweli mnauita uvamizi? Like, seriously?

Hahahaaa acheni maskhara bana. Uvamizi gani ule nyie....
 
Halafu hata hiyo footage yenyewe inayodaiwa kuwa ni uvamizi....jamani, ule ni uvamizi kweli?

Mbona sijaona kukurukakara zozote zile katika hivyo vi sekunde vichache tulivyoonyeshwa....

Kweli kabisa ule ni uvamizi?

Aiseee!!!!
Hujielewi utajivua nguo kwa kuendelea kutetea usichokijua, usitake kua mshindi katika hili bora Kukaa kimya utaaibika.
Kwamba uvamizi lazima kuwe na kukukakara??
 
Clouds wenyewe wamesemaje kwani?

Mimi nilichokiona kwenye hivyo visekunde vichache siwezi kuita ni uvamizi.

Labda kama kuna footage nyingine. Lakini si hii iliyopo sasa.
 
Back
Top Bottom