waziri mweusi wa kwanza huko itali

waziri mweusi wa kwanza huko itali

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
11-800x532.jpg


Huyu ndio Waziri wa kwanza mweusi kwenye historia ya Italia, aliolewa na Muitaliano miaka mingi iliyopita na kuhamia pamoja na kuchukua uraia wa Italia mwaka 1983.
 
taratibu waafrika tunaanza kuitawala dunia
 
Italia poa.

Nadhani Ujerumani mambo ya ubaguzi bado sana.
 
Huyu ndio Waziri wa kwanza mweusi kwenye historia ya Italia, aliolewa na Muitaliano miaka mingi iliyopita na kuhamia pamoja na kuchukua uraia wa Italia mwaka 1983.

This is very nice!
Dada zetu mlioolewa ugenini mfuate mifano hii. Sio kuturudia bongo na tatoo kwenye Masaburi tuu..
 
Eeeh bwana eeh,miss Bantu kabisa,kauwaa uwaziri Italy?wizara gani?
 
Halafu umejuaje hebu atuambie mwenyeji wa wapi na historia yake kwa ujumla na anaitwaje?#
Andrew abel.Haijapata kukutokea ukiona mtu usiyemfahamu unamfananishafananisha? Mimi kwa kumtazama
huyu waziri wa italia, sura yake inafanana sana na watu wa Singida, hasa kutoka wilayani Iramba.
Lakini baada ya kupekuapekua nimegundua kwamba huyu dada ni mzaliwa wa CongoDRc, na anaitwa Dr Cecile Kyenge na ana umri wa miaka 48. Alienda Italia kusomea udaktari wa macho na huko akakutana na muitaliano, wakaoana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom