Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
ANAHUSIKAJE HUYU WAZIRI ? KWANII YEYE NDO KATUKANA MKEWE NDO ALALE SERO..... NA APANDISHWE MAHAKAMANI
Na hilo ni jukumu la askari alie pandishwa cheo kama akiamua kukomaa nae sawa.ANAHUSIKAJE HUYU WAZIRI ? KWANII YEYE NDO KATUKANA MKEWE NDO ALALE SERO..... NA APANDISHWE MAHAKAMANI
Kama ulisikiliza yale mahojiano, askari alishauriwa afungue mashitaka juu ya kutukanwa. Hivyo ni juu yake kushitaki au la.Habari ya mke wa waziri aliye mtukana askari polisi akitimiza majukumu yake ndio niyamoto bado.Viongozi wetu hebu jifunzeni kuwajibika wanapokosa waliopochini yenu.
Nikwanini mh.Mahiga angalau usiombe radhi kwa watanzania kwaniaba ya mke wako?Au hajaona wenzake wakiwajibika kwa makosa ya walio chini yao?
Najiuliza pia je huyo mama amewajibishwa kwa kutukana?kama hajapelekwa mahakamani basi apelekwe mahakamani maana ameitukana jamhuri kwa kumtukana polisi.Raisi kuagiza askari aliyetukanwa apandishwe cheo nimatusi makubwa mno kwa familia ya waziri huyo na kama alikua hajajua aelewe kuanzia sasa
Bali ninasisitiza huyo mama afunguliwe mashtaka kwani sheria ni msumeno
Na wanavyopokea rushwa kushiriki ujambazi na kunyanyasa raia, wanaiwakilisha Jamhuri?Mkuu nijuavo mm ukimtukana askari akiwa amevaa kofia yenye nembo ya bibi na bwana hapo hujamtukana yeye Bali umeitukana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...zaidi ya hyo kwa vile huyo mama alimtukana huyo askari hadharani na kutukana hadharani ni kosa kisheria basi ilitakiwa huyo mama awe ameshafikishwa mahakamani muda huu ninapoandika hii comment. Ila kwa vile ni mke wa waziri rais amesema askari aliyetukanwa apandishwe cheo...ila nadhani rais watuangesema Jamhuri ipandishwe cheo kwani ndo ilitukanwa. Cha pili labda ajafikishwa mbele ya sheria kwa vile ni mke wa waziri. Hv angekuwa ni mke wa mlala hoi sijui ingekuweje.???
Weka picha zao, ikiwa kanuni zinaruhusuWaziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatatifa Mahiga
Watu wako rahisi sana kufuata mkumbo kukubali kitu wasichokijua.Pia unao ushahidi gani kuwa alitukana kweli? Je unajuaje kama askali baada ya kuona kanyang'anyana funguo (ambayo kisheria ni kosa, mama anaweza kusema alinyanyaswa kijinsia au alimbaka-si unajua sheria za ubakaji), yaani askali wajifunze jinsi ya kutekeleza majukumu yao.
Kwa hyo trafiki akikunyang'anya ufunguo utafanyaje mkuu?Pia unao ushahidi gani kuwa alitukana kweli? Je unajuaje kama askali baada ya kuona kanyang'anyana funguo (ambayo kisheria ni kosa, mama anaweza kusema alinyanyaswa kijinsia au alimbaka-si unajua sheria za ubakaji), yaani askali wajifunze jinsi ya kutekeleza majukumu yao.
Halafu nashangaa askari hajachukuliwa hatua kwa kunyang'anya funguo..Pia unao ushahidi gani kuwa alitukana kweli? Je unajuaje kama askali baada ya kuona kanyang'anyana funguo (ambayo kisheria ni kosa, mama anaweza kusema alinyanyaswa kijinsia au alimbaka-si unajua sheria za ubakaji), yaani askali wajifunze jinsi ya kutekeleza majukumu yao.