VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Kwa wasiofahamu,Waziri wa Katiba na Sheria,Dr. Harrison Mwakyembe ndiye Godfather wa Mkuu wa mkoa wa Dar,Paul Makonda. Hawa,wanafanana kwa matendo na maneno yao. Hawana breki katika kusema au kutenda
Like father,like son. Ametoka mwana,ameingia baba. Waziri Mwakyembe sasa anatamka vya kuichora Serikali kama ya udikteta. Kwanza,alisema hakuna Sheria inayokataza mikutano ya siasa baada ya uchaguzi. What does it mean? Hajui kuwa Rais amesema siasa hadi 2020?
Jana,Waziri Mwakyembe ametishia kuifuta Tanganyika Law Society(TLS). What does it mean? Anataka kuchora mchoro wa udikteta wa Serikali? Kwa faida ya nani? Namsihi Waziri Mwakyembe aende taratibu. Awe na breki na jeki.
Kama anataka kutumbuliwa aseme. Asipokaa kimya,tunaomfahamu tutavunja ukimya!
Mwafaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam