Waziri Mwakyembe amebadili gia angani?

Waziri Mwakyembe amebadili gia angani?

Lilipoibuka sakata la Ney wa Mitego na wimbo wake wa 'Wapo', Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe alijitokeza na kufanya mambo mawili. Mosi, aliondoa zuio la BASATA la kuzuia wimbo huo kutopigwa redioni na runingani. Pia, alimwalika na kukutana na Ney wa Mitego katika Ofisi za Wizara yake huko Dodoma. Wakafanya na mazungumzo.

Kimantiki, wimbo wa 'Wapo' una mambo ya kisiasa. Unaongelea mambo mbalimbali ya kisiasa katika minajiri ya kukosoa na kadhalika. Ni wimbo huo ndio Waziri Mwakyembe aliufungulia na kufanya mazungumzo na mwimbaji wake. Tena, alitaka wimbo huo uboreshwe na kubeba na maudhui ya wala rushwa, wakwepa kodi na kadhalika.

Jana, alipokuwa akijibu swali na Mbunge wa Mikumi, Mhe. Joseph Haule (Prof. J-CHADEMA), Waziri Mwakyembe amewaasa wanamuziki waache kuimba siasa kwakuwa wanaweza 'kuishia kubaya'. Ndiyo kusema, Waziri Mwakyembe amepiga marufuku wanamuziki wa Tanzania kuimba kuhusu siasa. Anataka waimbe mambo mengineyo.

Kadiri ya uelewa wangu na kwa jinsi ninavyofuatilia muziki, kuna mambo mawili makubwa ya kuyaimbia kwenye muziki. La kwanza, ni siasa. Siasa ni maisha ya watu katika namna mbalimbali. Siasa ni maisha ya kila siku katika uzuri au ubaya wake. Hata Hayati Bob Marley aliyepata umaarufu mkubwa ulimwenguni aliimba siasa pia. Jambo la pili la kuimbia ni mapenzi.

Je, katika mtitiriko wa kauli na matendo ya Waziri Mwakyembe, Waziri amebadili gia angani?

Tatizo la harison ahamini kua uwaziri wake umetokana na Mungu pamoja na uwezo wake. Anafanya kazi huku jicho lake lipo magogoni.
 
Ni aina fulani ya ugonjwa......wataalam wa mambo ya akili wanajua jina lake mimi sikumbuki.
Lilipoibuka sakata la Ney wa Mitego na wimbo wake wa 'Wapo', Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe alijitokeza na kufanya mambo mawili. Mosi, aliondoa zuio la BASATA la kuzuia wimbo huo kutopigwa redioni na runingani. Pia, alimwalika na kukutana na Ney wa Mitego katika Ofisi za Wizara yake huko Dodoma. Wakafanya na mazungumzo.

Kimantiki, wimbo wa 'Wapo' una mambo ya kisiasa. Unaongelea mambo mbalimbali ya kisiasa katika minajiri ya kukosoa na kadhalika. Ni wimbo huo ndio Waziri Mwakyembe aliufungulia na kufanya mazungumzo na mwimbaji wake. Tena, alitaka wimbo huo uboreshwe na kubeba na maudhui ya wala rushwa, wakwepa kodi na kadhalika.

Jana, alipokuwa akijibu swali na Mbunge wa Mikumi, Mhe. Joseph Haule (Prof. J-CHADEMA), Waziri Mwakyembe amewaasa wanamuziki waache kuimba siasa kwakuwa wanaweza 'kuishia kubaya'. Ndiyo kusema, Waziri Mwakyembe amepiga marufuku wanamuziki wa Tanzania kuimba kuhusu siasa. Anataka waimbe mambo mengineyo.

Kadiri ya uelewa wangu na kwa jinsi ninavyofuatilia muziki, kuna mambo mawili makubwa ya kuyaimbia kwenye muziki. La kwanza, ni siasa. Siasa ni maisha ya watu katika namna mbalimbali. Siasa ni maisha ya kila siku katika uzuri au ubaya wake. Hata Hayati Bob Marley aliyepata umaarufu mkubwa ulimwenguni aliimba siasa pia. Jambo la pili la kuimbia ni mapenzi.

Je, katika mtitiriko wa kauli na matendo ya Waziri Mwakyembe, Waziri amebadili gia angani?
 
Itakua nchi ya kwanza duniani wanamuziki wake wasiimbe masuala ya siasa, ukiangalia historia wanamuziki wetu wamekua wakiimba nyimbo za maudhui ya siasa aidha kwa kuhamasisha maendeleo kwa kusifia juhudi za wanasiasa, nyimbo za kimapinduzi, nyimbo za mashujaa nakadhalika.. sasa siasa yetu bila musiki itakua dull na akina mrisho mpoto wataimba matangazo ya biashara tu.
 
Lilipoibuka sakata la Ney wa Mitego na wimbo wake wa 'Wapo', Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe alijitokeza na kufanya mambo mawili. Mosi, aliondoa zuio la BASATA la kuzuia wimbo huo kutopigwa redioni na runingani. Pia, alimwalika na kukutana na Ney wa Mitego katika Ofisi za Wizara yake huko Dodoma. Wakafanya na mazungumzo.

Kimantiki, wimbo wa 'Wapo' una mambo ya kisiasa. Unaongelea mambo mbalimbali ya kisiasa katika minajiri ya kukosoa na kadhalika. Ni wimbo huo ndio Waziri Mwakyembe aliufungulia na kufanya mazungumzo na mwimbaji wake. Tena, alitaka wimbo huo uboreshwe na kubeba na maudhui ya wala rushwa, wakwepa kodi na kadhalika.

Jana, alipokuwa akijibu swali na Mbunge wa Mikumi, Mhe. Joseph Haule (Prof. J-CHADEMA), Waziri Mwakyembe amewaasa wanamuziki waache kuimba siasa kwakuwa wanaweza 'kuishia kubaya'. Ndiyo kusema, Waziri Mwakyembe amepiga marufuku wanamuziki wa Tanzania kuimba kuhusu siasa. Anataka waimbe mambo mengineyo.

Kadiri ya uelewa wangu na kwa jinsi ninavyofuatilia muziki, kuna mambo mawili makubwa ya kuyaimbia kwenye muziki. La kwanza, ni siasa. Siasa ni maisha ya watu katika namna mbalimbali. Siasa ni maisha ya kila siku katika uzuri au ubaya wake. Hata Hayati Bob Marley aliyepata umaarufu mkubwa ulimwenguni aliimba siasa pia. Jambo la pili la kuimbia ni mapenzi.

Je, katika mtitiriko wa kauli na matendo ya Waziri Mwakyembe, Waziri amebadili gia angani?

Hapo kusema kuwa wataishia pabaya wakiimba siasa
Maana yake amethibitisha wasanii wanapewa misukosuko na serikali
 
Lakini ni wasanii hawa hawa watakaotakiwa kuimba nyimbo majukwani 2020, ama Mheshimiwa anasahau kuwa akina marehemu Komba, akina Hadija Kopa na wenzie pia ni wasanii.? Hivyo watakapopanda jukwaani waimbe mahaba tu.
Ngoja tusubiri Mkuu
 
Ni waziri wa awamu ya tano asiejielewa na ambae anaji-contradict kuliko woote kila uchao ... chezea kemikali wewe ...
 
Lilipoibuka sakata la Ney wa Mitego na wimbo wake wa 'Wapo', Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe alijitokeza na kufanya mambo mawili. Mosi, aliondoa zuio la BASATA la kuzuia wimbo huo kutopigwa redioni na runingani. Pia, alimwalika na kukutana na Ney wa Mitego katika Ofisi za Wizara yake huko Dodoma. Wakafanya na mazungumzo.

Kimantiki, wimbo wa 'Wapo' una mambo ya kisiasa. Unaongelea mambo mbalimbali ya kisiasa katika minajiri ya kukosoa na kadhalika. Ni wimbo huo ndio Waziri Mwakyembe aliufungulia na kufanya mazungumzo na mwimbaji wake. Tena, alitaka wimbo huo uboreshwe na kubeba na maudhui ya wala rushwa, wakwepa kodi na kadhalika.

Jana, alipokuwa akijibu swali na Mbunge wa Mikumi, Mhe. Joseph Haule (Prof. J-CHADEMA), Waziri Mwakyembe amewaasa wanamuziki waache kuimba siasa kwakuwa wanaweza 'kuishia kubaya'. Ndiyo kusema, Waziri Mwakyembe amepiga marufuku wanamuziki wa Tanzania kuimba kuhusu siasa. Anataka waimbe mambo mengineyo.

Kadiri ya uelewa wangu na kwa jinsi ninavyofuatilia muziki, kuna mambo mawili makubwa ya kuyaimbia kwenye muziki. La kwanza, ni siasa. Siasa ni maisha ya watu katika namna mbalimbali. Siasa ni maisha ya kila siku katika uzuri au ubaya wake. Hata Hayati Bob Marley aliyepata umaarufu mkubwa ulimwenguni aliimba siasa pia. Jambo la pili la kuimbia ni mapenzi.

Je, katika mtitiriko wa kauli na matendo ya Waziri Mwakyembe, Waziri amebadili gia angani?
kwa nionavyo mimi, kinachosumbua kwa sasa nchini kwetu ni watendaji wa serikali kutokuwa tayari kumkosea mkuu wao. Wengi wao kama sio wote wameshindwa kudeliver kama inavyowapasa, kikubwa wanachofanya ni kuilinda serikali hata kama wanajua njia itumikayo si sahihi lakini watafumba macho. Na hii imesababisha kuwepo kwa matamko mengi hata kama ni kinzani wanajikuta wameyatoa yote ni kutaka mkuu awaone kuwa wapo kuitetea.
Waziri siku akiongea issue za Ney aliongea kwa kumfurahisha mkuu kwa vile agizo la kuachiliwa kwake lilitoka kwa mkuu.
Leo kasahau kama siku ile ilikuwa siasa,leo kafikiria kuwanyamazisha kuisema serikali kapiga marufuku kuimba siasa!!!
Kuna nyimbo za enzi na enzi ziliimbwa na ni siasa....kuna kawimbo kanamsifia Hayati mwalimu Nyerere enzi hizo huwa nakasikia japo sijui hata jina...kanaimba...
Tanzania yetu ndio nchi yenye amani.....
Naye baba Nyerere ndio kiongozi wetu.....

Mwakyembe hajui nayo hiyo ni siasa.....
 
Si ndio huyu aliyesema ndoa hadi vyeti!!! Najua mj atatengua tena kauli yake hii.
 
Hata ingekuwa in wewe, hayupo aliyeumbwa kwa nyama na damu akapenda kukosolewa. Hii ndo sifa ya binadamu kwa asili
 
Nimeshtushwa na kauli ya Mwakyembe kuwa wanamuziki hawapaswi kuimba siasa!Nimeshindwa kumuelewa kabisa ana maana gani huyu mzee!
Hebu angalia hiyo video wakati akiwaamuru Polisi kumuachia Nay lakini pia Basata kuuacha wimbo wa Nay wa "wapo"! Akaongeza kuwa Rais ameshuri Ney asipunguze maneno badala yake aongeze awaimbe na wakwepa kodi kuwa wapo!
Siku chache baadaye anasema wanamuziki hawapaswi kuimba siasa!Tuwaeleweje?Msimamo wenu ni nini?
Mwakyembe unafiki umekujaa,hujui msimamo wako nini!Kila siku kurukaruka tu na kupayuka!shame
 
Hata ingekuwa in wewe, hayupo aliyeumbwa kwa nyama na damu akapenda kukosolewa. Hii ndo sifa ya binadamu kwa asili
Ni kweli mkuu, lakini ukiacha waliopata uongozi kwa bahati mbaya (viongozi waliofanya mapinduzi) inajulikana tangu zamani kuwa kila anayetaka kuwa kiongozi wa watu awe na utayari wa kukosolewa hata pale anapofanya jema. Kwa falsafa hiyo ndiyo maana uongozi unagombewa kwa kila aliye tayari. Njia nzuri ni kuwaachia wavumilivu wa kukosolewa waongoze
 
Back
Top Bottom