Nyerere alituasa na kutuhamasisha kwamba 'SIASA NI KILIMO', tena ni azimio la Iringa mwaka 1972. Kwa hiyo yeye Mwakyembe hataki KILIMO na kama ni hivyo Mwakyembe hawataki watanzania kwa asilimia 80%. Maana tunaambiwa 80% ya watanzania ni wakulima.
Katumwa aseme hivyo, ili mkuu aje aitengue hiyo kauli kama alivyofanya kipindi kile cha bila vyeti vya kuzaliwa hakuna kufunga ndoa.Lilipoibuka sakata la Ney wa Mitego na wimbo wake wa 'Wapo', Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe alijitokeza na kufanya mambo mawili. Mosi, aliondoa zuio la BASATA la kuzuia wimbo huo kutopigwa redioni na runingani. Pia, alimwalika na kukutana na Ney wa Mitego katika Ofisi za Wizara yake huko Dodoma. Wakafanya na mazungumzo.
Kimantiki, wimbo wa 'Wapo' una mambo ya kisiasa. Unaongelea mambo mbalimbali ya kisiasa katika minajiri ya kukosoa na kadhalika. Ni wimbo huo ndio Waziri Mwakyembe aliufungulia na kufanya mazungumzo na mwimbaji wake. Tena, alitaka wimbo huo uboreshwe na kubeba na maudhui ya wala rushwa, wakwepa kodi na kadhalika.
Jana, alipokuwa akijibu swali na Mbunge wa Mikumi, Mhe. Joseph Haule (Prof. J-CHADEMA), Waziri Mwakyembe amewaasa wanamuziki waache kuimba siasa kwakuwa wanaweza 'kuishia kubaya'. Ndiyo kusema, Waziri Mwakyembe amepiga marufuku wanamuziki wa Tanzania kuimba kuhusu siasa. Anataka waimbe mambo mengineyo.
Kadiri ya uelewa wangu na kwa jinsi ninavyofuatilia muziki, kuna mambo mawili makubwa ya kuyaimbia kwenye muziki. La kwanza, ni siasa. Siasa ni maisha ya watu katika namna mbalimbali. Siasa ni maisha ya kila siku katika uzuri au ubaya wake. Hata Hayati Bob Marley aliyepata umaarufu mkubwa ulimwenguni aliimba siasa pia. Jambo la pili la kuimbia ni mapenzi.
Je, katika mtitiriko wa kauli na matendo ya Waziri Mwakyembe, Waziri amebadili gia angani?
Bosi naye ni tatizo sasa tatizo linaweza kutatua tatizo mkuu?Mwakyembe ni tatizo zaidi ya vyeti feki ila bos wake amuoni tu!!!!!
Lilipoibuka sakata la Ney wa Mitego na wimbo wake wa 'Wapo', Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe alijitokeza na kufanya mambo mawili. Mosi, aliondoa zuio la BASATA la kuzuia wimbo huo kutopigwa redioni na runingani. Pia, alimwalika na kukutana na Ney wa Mitego katika Ofisi za Wizara yake huko Dodoma. Wakafanya na mazungumzo.
Kimantiki, wimbo wa 'Wapo' una mambo ya kisiasa. Unaongelea mambo mbalimbali ya kisiasa katika minajiri ya kukosoa na kadhalika. Ni wimbo huo ndio Waziri Mwakyembe aliufungulia na kufanya mazungumzo na mwimbaji wake. Tena, alitaka wimbo huo uboreshwe na kubeba na maudhui ya wala rushwa, wakwepa kodi na kadhalika.
Jana, alipokuwa akijibu swali na Mbunge wa Mikumi, Mhe. Joseph Haule (Prof. J-CHADEMA), Waziri Mwakyembe amewaasa wanamuziki waache kuimba siasa kwakuwa wanaweza 'kuishia kubaya'. Ndiyo kusema, Waziri Mwakyembe amepiga marufuku wanamuziki wa Tanzania kuimba kuhusu siasa. Anataka waimbe mambo mengineyo.
Kadiri ya uelewa wangu na kwa jinsi ninavyofuatilia muziki, kuna mambo mawili makubwa ya kuyaimbia kwenye muziki. La kwanza, ni siasa. Siasa ni maisha ya watu katika namna mbalimbali. Siasa ni maisha ya kila siku katika uzuri au ubaya wake. Hata Hayati Bob Marley aliyepata umaarufu mkubwa ulimwenguni aliimba siasa pia. Jambo la pili la kuimbia ni mapenzi.
Je, katika mtitiriko wa kauli na matendo ya Waziri Mwakyembe, Waziri amebadili gia angani?
alipita kwa kuiba kula ktk jimbo lake la kyelaHivi huyu mbunge kama yupo hivi, je wananchi anawaongoza uwezo wao ukoje?
uzee unamsumbua,wenzake washastaafu na heshima zao lakin yeye ulafi wa madaraka ndio chachu ya yeye kuwepo hadi leoHuwezi kuwa Waziri ambae juzi ulimsifia Nay na wimbo wake unaozumgumzia siasa halafu after few days unasema ni marufuku kwa wanamuziki kuimba siasa.
Unawatolea mfano Diamond na Ali Kiba kwamba wamefanikiwa kimuziki kwasababu hawaimbi siasa.
Umeshasahau nyie CCM mlivyomwimbisha diamond kwenye kampeni zenu na baadhi ya nyimbo zake akazi badili na kua mwelekeo wa siasa na hata juzi ametunga wimbo wenye mwelekeo wa kisiasa na cover la album kaweka picha ya Mwl Nyerere.
Waziri Hasara.
kazi zao ni kuimba, waimbe nini tuwaachie wao. Upande unaoongoza kuwatumia wanamuziki ni serikali na CCM. Tatizo wao wakiwatumia wanamuziki 30 sio tatizo ila upande fulani ukiwatumia wawili tu ni tatizo. Huku ni kutojiamini kwa kiwango cha PhD.wasanii wasipoingia kwenye siasa, Nchi itakuwa imepiga maendeleo sana.Ila wanatumika pote tu ingawa hata US tuliwaona wasanii wako upande wa mama Hilary ila kwetu wamezidi
Kila mmoja afanye kazi zake.
wasanii wasipoingia kwenye siasa, Nchi itakuwa imepiga maendeleo sana.Ila wanatumika pote tu ingawa hata US tuliwaona wasanii wako upande wa mama Hilary ila kwetu wamezidi
Kila mmoja afanye kazi zake.
Wataje Mkuu
Mwakyembe ni tatizo zaidi ya vyeti feki ila bos wake amuoni tu!!!!!
Mwakyembe anaonesha kutojitambua ndio maana anaendeshwa kama mtoto kiujumla hana msimamo na amejaa uoga
Kama ni Mwakyembe sitoweza kushangaa
Maana nzima ya kile anachokisema Mh Mwakyembe unakipata kupitia mifano yake ya wanamuziki aliowataja. Nyimbo za kisiasa alizozikataza ni zile zenye kuibua mgogoro kati ya serikali na mwanamuziki. Hapa alitoa mfano wa Fela Ramson Anikulapo Kuti wa Nigeria kuimba nyimbo za kushambulia wanasiasa zilimfanya afe kama chokolaa.Lilipoibuka sakata la Ney wa Mitego na wimbo wake wa 'Wapo', Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe alijitokeza na kufanya mambo mawili. Mosi, aliondoa zuio la BASATA la kuzuia wimbo huo kutopigwa redioni na runingani. Pia, alimwalika na kukutana na Ney wa Mitego katika Ofisi za Wizara yake huko Dodoma. Wakafanya na mazungumzo.