Za asubuhi my dear. Wajomba wako poa?
Na kupitia hili ndipo wanafiki na wazandiki wanapatikana. Mtu yupo tayari kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili apate chochote lakini moyoni mwake haupo.Kikubwa mkono uende kinywani
Mabadiliko yanakuja japo kwa njia ngumu mno.MaCCM ni WANAFIKI wa kutupa. Usiwaamini hata siku moja.
Na kupitia hili ndipo wanafki na wazandiki wanapatikana. Mtu yupo tyari kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili apate chochote lakini moyoni mwake haupo
Tanzania tuna wanafiki wengi kipindi hiki haijawahi kutokeaTabia za Pascal Mayalla AKA Pascal “msaka teuzi” Mayalla hizi.
Na kupitia hili ndipo wanafki na wazandiki wanapatikana. Mtu yupo tyari kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili apate chochote lakini moyoni mwake haupo
Taifa la wanafiki siku zote halina maendeleo sustainable. Akija kiongozi mwingine mtamsapoti kwakusema aah yule aliyepita hiki hakufanya sahihi wakati mlimuunga mkono wakati wa utekelezaji wa hiko kitu.Ndo hivyo mkuu kikubwa familia imepata chakula
Yeye siasa ameshindwa kura za maoni anasbiria kama atapata wamezaniNa kupitia hili ndipo wanafki na wazandiki wanapatikana. Mtu yupo tyari kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili apate chochote lakini moyoni mwake haupo