Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

Ninachoshangaa is why should they waste ample time just for listening to undirectional phrases?!

It all depends on your judgement and interpretation.
This matter, however trivial it may sound, it carries with it a lot in terms of accountability.
Usishangae kwanini watu wana interest nalo kihivo.
 
Mimi nashindwa kwanini tumjadili mulugo wakati ameonesha mwisho wa uwezo wake wakati hapa tunastahili kumjadili huyu aliyempa madaraka hayo alitumia vigezo gani?
 
Kwanza tuambie mazuri gani aliofanya. Kufunga shule ambazo hazina viwango au ambazo hazijasajiriwa? Hiyo nayo ni kazi ngumu? Si ni kwamba watanzania wamebweteka tu. Kazi ya kufunga shule feki hata wewe unaweza ukiwawenye position kama hiyo. Huyu bwana Unaibu waziri ni kazi kubwa zaidi ya uwezo wake. Na sijui JK alimpata wapi?
 
Hii ilishapitwa na wakati, kwasasa tunajadiri utetezi wake kwamba ni ulimi tu uliteleza, yeye alitaka kumaanisha Tanzania ni muungano wa Zanzibar, Pemba na Tanzania bara:confused2::confused2:
 
He!! Tanzania ni muungano wa Zanzibar,Pemba na Tanzania bara?!!!! kweli hili ni janga la
kitaifa" Mabosi wake Dhaifu mmoja hajui kwa nini Tz ni maskini mwingine akaishia kusema "Liwalo
na liwe"
Mwe Mungu tuhurumie Watanzania"
 
Anasema alichotamka sio kilichokuwa kimeandikwa kw power point na watu wwalikuwa wameconcentrate kw power point na anadai ni slip of the tongue....

Amejuaje watu walikuwa wana-concentrate kwenye power point? How about those who are visually impired?

Na kama watu walikuwa wana-concentrate kwenye power point, yalifikaje huku JF?
 
Ninachojiuliza ni kwa nini KATIBU MKUU wake aliruhusu haya makosa? Ni dhahiri Mulugo hakuandaa hiyo presentation. Kuweka Pemba na Zanzibar ambayo aliitamka Zimbabwe siyo slip of toungue bali ni factual error. Hata kuonesha Indian Ocean ni nchi ni factual error. Huyu bwana hajui kazi za TCU wala NACTE. Wakurugenzi husika yaani wale wa Higher Education na Technical and Vocational Education should be put to task. Wamechangia taifa kuaibika.
 
Hivi kwa nini wakinyoa akili huwarudia na kuwa binadamu wa kawaida?
Nimefanya Utafiti na kugundua kuwa kuwanyoa ndevu huwabadilisha sana tabia na maamuzi.
Huyu jamaa hata wakimuachia huru hana madhara tena labda mpaka ndevu ziote.
 
Hivi kwa nini wakinyoa akili huwarudia na kuwa binadamu wa kawaida?
Nimefanya Utafiti na kugundua kuwa kuwanyoa ndevu huwabadilisha sana tabia na maamuzi.
Huyu jamaa hata wakimuachia huru hana madhara tena labda mpaka ndevu ziote.

jf kwa porojo, huo utafiti umefanya wapi?
Ndevu kwenye kidevu cha mwanaume mwingine zinakuwashia nini?
 
Back
Top Bottom