Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi.akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini bw. muhongo. mtu mmoja aliyekaribu sana na muhongo anawapitishia vijana wa lowassa kama ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati. licha ya muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila lowasa kupewa taarifa. safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. ni mtandao mzito.
Mkuu ni ujinga wa watu tu kutumika kijinga huwa sioni umuhimu wa hao watu wanaokaa wanatajwa kila siku.Siasa za nchi hii hazinogi bila kutajwa kwa jina la lowassa!
Kwa akili yako fupi unadhani kupewa nyaraka ndiyo kuwa rais muulize mlema alitoka serikalini na nyaraka nyingi sasa aliishia wapi,twende kwa slaa altumia pesa nyingi kununua nyaraka za serikali muulize nini kilimkuta,usifikiri kila mwanaume anayemvua nguo msichana anamuoa la hasha wengine waishia hatua hiyo na kuwajengea majumba pamoja na kuwanunulia magari wanawaacha solemba.take care.
wazee wa bagamoyo hao wanapalilia azimio lao la rais wa 2015 asitoke kaskaziniumejibu kichangu zaidi
Hayo ni mawazo yako utabaki hivyohivyo kuongea habari udaku na umbea muhongo ni bonge la waziri anayejua kazi yake vema.
Lowassa yupo ndani ya damu za watanzania,maafisa wa serikali na hata wengi wa mawaziri wanaripoti kwake
Lowassa yupo ndani ya damu za watanzania,maafisa wa serikali na hata wengi wa mawaziri wanaripoti kwake
nyie mrogwa au mmeshikiwa akili zenu...EL nahama nchi kama huyu atakuwa Raisi....
wazee wa bagamoyo hao wanapalilia azimio lao la rais wa 2015 asitoke kaskazini
Lowassa yupo ndani ya damu za watanzania,maafisa wa serikali na hata wengi wa mawaziri wanaripoti kwake
Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.
Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.
Ni kwel ila watu hawaamini ila ndiye Rais anayefuata, mbaya zaidi wa chadema anatoka kaskazini na wa CCM kaskazini tena mkoa mmoja, patamu hapo sijui itakuwaje, tusubiri, mimi niko arusha, japo kuwa mimi ni mfuasi wa chadema ila kura yangu nintampa lowasa kwani kimsingi ni mtu shupavu asiye na uwoga, mwenye maamuzi, mchapa kazi na mchukua hatua, japokuwa ni fisadi ila naamin akiwa rais hawezi kuiba tena,