Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
sifa huwa zinatesa sana mkuu.... wanasemaga "Mgema akisifiwa......", na nyingine "ngoma ikivuma sana inapasuka", ndo haya tunayoyashuhudia.Yea, watu walimwagia mafisa hapa.
Kiongozi mzuri siyo lazima profesa.
Sometimes, ni shida pia kuanza siasa ukubwani.
Uongozi haukurupushwi..... unatakiwa uwiwe..... hasa na unaowaongoza....
sikatai kuna muda ambao kama kiongozi unatakiwa ufanye maamuzi magumu kwa wananchi.