VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Nina mashaka na the motive behind taarifa hii!.
Uchochezi!.
Mimi ni ssupporter mkubwa wa gesi ya Mtwara lazima itoke!.
Pasco
Tunasubiri kwa hamu Comradewell.. kwanini tuandikie mate; kama wataweka walinzi kila mita ya hilo bomba basi itafika inakokwenda.
Ni lecturer wa Savimbi nasikia?Pasco, VUTA-NKUVUTE,
..Prof.Muhongo anatakiwa aache lugha za kibabe.
..huyu ni Professor mwandamizi, sasa sielewi kwanini anashindwa "kuwasomesha" na kuwashawishi wananchi wa Mtwara mpaka wakaunga mkono mradi wa gesi.
jitu zima ka litoto ama kutumia ID nyingi unajisahau unatumia ipi? Hapa uchochezi upo wapi? Bora utumie ile ID nyingine... ulishaadhilika na posho mwandishi njaaNina mashaka na the motive behind taarifa hii!.
Uchochezi!.
Mimi ni ssupporter mkubwa wa gesi ya Mtwara lazima itoke!.
Pasco
Nakuruhusu itaje na wala sitakushitaki kwa name calling!. Humu jf tupo Pasco wawili tuu tunaofanana, yule mwenyewe halisi in his real name tena akiwa ni verified user na mimi Pasco wa jf!. No more no less!.jitu zima ka litoto ama kutumia ID nyingi unajisahau unatumia ipi? Hapa uchochezi upo wapi? Bora utumie ile ID nyingine... ulishaadhilika na posho mwandishi njaa
Nina mashaka na the motive behind taarifa hii!.
Uchochezi!.
Mimi ni ssupporter mkubwa wa gesi ya Mtwara lazima itoke!.
Pasco