Waziri Muhongo azomewa!

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Katika hali isiyo ya kwaida jioni hii, waziri muhongo amepetwa na kadhia ya aina yake hapa Dodoma alipokuwa akitoka kwenye duka la madawa. Vijana ambao wanasadikiwa kuwa madereva wa Bodaboda na wachuuzi, yaani wamachinga, walianza kumzomea kumuita "chura! Chura! Chura! Chura!" hali iliyompelekea Bw. Muhongo kutembea kwa haraka kuelekea kwenye gari iliyokuwa ikumsubiria pembezoni mwa barabara. Baada ya kufika kwenye gari, waliondoka kwa kasi ya ajabu kuelekea ofisi za bunge huku vijana wakiendele akumzomea !

My Take:
Huu ni mwanzo mbaya kwa hawa viongozi wenye dharau na wakorofi wa CCM. Watazomewa sasa hivi mpaka watakoma. Huyu muhongo angejaribu kujifunza ustaarabu kutoka kwa Mawaziri wasaidizi wizara ya Nishati na madini waliomsaidia kujibu maswali

 
Ha ha ha kwahiyo prof amepata aka ya frog?ha ha profesa frog
 
Jamani walio karibu na Mchungaji Msigwa, mwambienie asiwe karibu. atakamatwa na hao polisi CCM kwa kuchochoea waziri kuitwa CHURA !
 
Yule Mchochea vurugu mashuhuri wa CHADEMA mheshimiwa Lema lazima alikuwa jirani na kuchochea huyu jamaa atusiwe kwa kuitwa chura lol! Vyura watakoma ubishi mwaka huu

Haha, nafikiri atatuma polisi kwenda kufuatilia ili kujua kama kuna tawi la CHADEMA maeneo ya karibu, ili viongozi wake wakamatwe.
 
Ha ha ha kwahiyo prof amepata aka ya frog?ha ha profesa frog
Ameyataka mwenyewe. Lugha yake ni ya kibabe mno. Manaibu wake ni wastaarabu na tena wamemfunika sana hata wakati wa presentation ya leo.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Haa nimeamini ukombozi u karibu, mpaka dodoma imeanza kuamka! Waziri muhongo a.k.a Chura!
 
Tatizo la Viongozi wetu wanapenda huu
msemo mashuhuri:-


""Kusikia kwa Kenge mpaka atoke damu Puani""
 

Na bado wanadhani kutowa kafara damu za watanzania ni raha? mungu yupo iposiku atawajibu wa tanzania.
 
Kuzomewa na Wendawazimu, Vichaa na Wehu ni Faraja sana kwa Profesa! Profesa chapa kazi kwa Jeuri ya Cham,a tawala Chama cha Mapinduzi
 
Saaafi hiyoo!!!Ndo dawa ilobaki zomeazomea haya magamba kila mahali mpaka yajute na kushindwa kutembea.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…