Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Takribani wiki tatu zilizopita wilaya ya Musoma walitangaza kukabiliwa na njaa na kuomba kupewa chakula cha msaada, mbunge wa jimbo hilo amabaye ndiye waziri wa nishati na madini, Sospeter Muhongo aliafiki maombi hayo na kuagiza madiwani wampe taarifa za uhaba kwenye kata zao,
mkuu wa mkoa huo kakataa chakula cha msaada, kwa kuogopa kutumbuliwa
Yaani mtu anataka maelfu ya watu wateseke au wafe kwa njaa kwa ajili ya kutafuta sifa au kulinda maslahi yake
Hatari sana...
mkuu wa mkoa huo kakataa chakula cha msaada, kwa kuogopa kutumbuliwa
Yaani mtu anataka maelfu ya watu wateseke au wafe kwa njaa kwa ajili ya kutafuta sifa au kulinda maslahi yake
Hatari sana...