In short, ukiangalia vizuri, unaona kabisa kwamba $1.3BN ni somewhere reasonable na ingawaje niliweka possibility ya Ophir ku-report less than what they actually earned ni kv tu nafahamu no one business entity that acts like an angel...any business entity that may find the room to make more profit, it'll use it!Good, i made numbers based on you assumption to drive home a point. Again you are mixing up two things. Microsoft did not have to Bid to acquire part of Nokia Operations,GMC's do not have to bid if it was not a government contract.Remember this was not a public sale of whatever Ophir had.This was an internal sale of Ophir interest in the block. Pavilion is not Taking over the contract from Ophir, it is merely injecting cash and in the process it is becoming a shareholder of the whole thing,appraisal wanafanya serikali ya Tanzania, mara baada ya hao waheshimiwa kupokea taarifa za hiyo offer.Kumbuka transaction haitapita bila kuwa approved na Serikali ya Tanzania,serikali ya Marekani (where the company is listed) na serikali za nyumbani za makampuni husika.
Nafahamu tuna paranoia ya kudhulumiwa na hawa mafisadi kwenye kila aina ya deal hapa Tanzania, lakini kwa hili nasimama na Serikali yetu,kama kosa, basi litafanywa na Ophir na Pavilion, and they would not want to risk their $100B+ businesses for $1B, especially when it is involving the US. We all knew what happened to BAE.
What might happen is Muhongo and Team might receive a few mils to fasten up the deal, but there is no way kwa mfano Pavilion can buy the shares for $5B and report it as $1.3B, a billion Dollars is a lot of money to hide under the carpet. a few millions,up to ten can easily be hidden under facilitation, and that's about it.
politiki,basically kuna mikataba ya aina 4 kwy biashara ya gas. kilichosainiwa bongo kwa mujibu wa JK ni Production sharing agremeent au kwa jina lingine production sharing contract ni kwamba the govt does not spend any money ktk process nzima kwahiyo in PSA, the investor receive full cost from producton then sharing the profit with govt(65% and 35%)
hakuna cha tax wala nini everything has been build in 65% or 75% kilichofanyika kwy deal hili hakiendani na PSA kwa sababu hii ilikuwa ownership change bila production kuwa involved until 2020.
.hivi wewe Tanzania tunakimbia au tunatambaaa?tunatambaa chini ya swaga na ulaghai wa ccm,ufisadi na ubinafsi wa mawaziri wa chama chakavu ndo wanasainishana mikataba mibovu huku wakiramba ten /cnt zao nyie mnasema mnakimbia,kama sisi tunakimbia tueleze tunakimbiaje? Labda tunakimbia kwa riverse!
Wanajamii kumekuwa na upotoshaji mkubwa katika habari za uuza wa hisa na unsaji wa kodi tokana mauzo ya hisa. Ukweli ni kuwa hakuna unasaji wowote uliofanywa na Waziri Muhongo kwani hahusiki na lolote katika ukadiriaji wa kodi wala ukusanyaji wake. Suala la ukusanyaji wa kodi ni suala la TRA na sio wizara ya Madini au taasisi zake. Kwa mujibu wa sharia ya kodi ya mapato ya mwaka 2004 katika vifungu vya 39, 55, 56 na 90 ndivyo vinavyohusika na utozaji na ukadiriaji wa kodi hiyo ambayo inaitwa Capital Gains, japokuwa kisheria inatambulika kama Investment gain(tax). Waziri Muhongo hana mamlaka wala ujuzi wa kukadiria kodi ya mapato. Upotoshaji mwingine ni kuwa fedha hiyo itakayopatikana itatumika katika miradi ya umeme, hiyo sio kweli. Kuna kodi ambazo zimepangwa hivyo kwa mfano kwa mfano tozo la ushuru katika matumizi ya simu za mkononi, capital gains tax haihusiki na mpango huu. Upotosahji mwingine ni kuwa Mheshimiwa Zito ndiye aliyependekeza marekebisho ya sharia ya capital gains na kupelekea kurekebishwa kwa sharia ya kodi ya mapato. Ukweli ni kuwa sharia ya kutoza pato tokana na mauzo ya hisa ni kitu ambacho kipo siku nyingi hata katika sharia iliyofutwa sharia ya mwaka 1973 kifungu cha 13. Na katika katika sharia ya 2004 ambayo ndiyo inatumika wakati huu vifungu hivyo vilikuwepo kuanzia wakati sharia hii inapitishwa na bunge. Marekebisho yaliyofanywa mwaka 2012 msingi wake ni ndani ya serikali yenyewe ambayo ilikutana na changamoto kubwa tokana no kesi ya ARMZ vs Commissioner General ya mwaka 2012 ambayo ilizua utata katika ukadiriaji wa kodi ya aina hiyo. Suala jingine lililojitokeza ni mashaka katika thamani ya mauzo au ukadiriaji wa kodi hiyo. Suala la thamani ya mauzo ni vigumu mno kufichika katika mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji kama ambavyo inafanyika katika mauzo hisa hizi za sasa hivi. Na pengine inatupasa kufahamu kuwa katika utozaji wa kodi, kiasi kinachotozwa kodi ni faida inayotokana na mauzo ya hisa na sio pato lote, hivyo lazima hesabu itafanyika ili kujua faida ni ipi na hapo ndipo kozi itatozwa kwenye kiasi hicho, kwa maana hiyo kiasi cha kodi kinaweza kupungua kwa kiasi Fulani.
Ndugu yangu Nyumba Kubwa. Inasikitisha kuona kuwa mtu anayepewa sifa za kunasa kodi ndiye anahusika na kupoteza kodi. Ukifuatilia hotuba za Waziri bungeni utashangaa ni huyu waziri alisema ARMZ kampuni ya Uranium ya kirusi haitapewa leseni mpaka ilipe kodi wakati huo kulikuwa na kesi katika Mahakam ya kodi Tax Revenue Appeals Board iliyopo bank house. Lakini kabla kesi haijaisha waziri akatoa leseni. Ni kweli TRA baadaye TRA ilishindwa katika kesi iliyokuwepo mbele ya Tax Revenue Appeals Board na baadaye mwezi uliopita TRA imeshindwa katika rufaa zake katika mahakama ya rufaa ya kodi Tax Revenue Appeals Tribunal. Sasa kwa ushauri tu ndugu yangu kama unapenda kujua zaidi kuhusu kesi hizo na namna zilivyoendeshwa na kuamuriwa tafadhali fika hapo benki house ujaribu kuzipata hizo kesi ambazo kimsingi ni public documents na wakati mwingine kesi hizo huwa zinakuwa published uone kama utazipata. Ukipata shukuru mungu na kasha soma hizo kesi ili uone kama kuna siku TRA itapata kodi toka katika vyanzo hivyo vya capital gains. Case ambazo zinahusika ni kesi namba 26 ya mwaka 2012 inahusu kodi ya mapato(Income Tax Case) na kesi namba 27 ya mwaka 2012 inahusu Stamp Duty, hizo ni kesi mbele ya Tax Revenue Appeals Board, na baada ya hapo jaribu kupata kesi namba 17 ya 2003 hii niksei ya Kodi ya mapato mbele Tax Revenue Appeals Tribunal. Na kesi nyingine ni kesi ya Stamp kesi namba 16, hizo kesi naambiwa bado zinachapwa, pengine zitakuwa tayari.
Hii isitafsiriwe kama zawadi au pesa zilizopatikana kwa bahati mbaya ni mapato halali ya nchi na matumizi yake yafuate taratibu stahiki za nchi na SIMBACHAWENE asianze kupanga matumizi feki TANAWAJUA MAGAMBA WANAWEZA FICHA FEDHA ZOTE KWA AJILI YA UCHAGUZI 2015 chondechonde tuheshimiane na matumizi ya mapato yanayotokana na rasilimali za nchi yetu!Ni jambo la kujivunia kuwa tunae waziri ambae ni msomi na muelewa wa mambo ya utawala na maendeleo. Na hakika amepewa wizara ambayo inafanana na professional yake na kwa bahati mbaya amewabana sana makanjanaja na matapeli wa mjin mpaka imekuwa nongwa.
Hii isitafsiriwe kama zawadi au pesa zilizopatikana kwa bahati mbaya ni mapato halali ya nchi na matumizi yake yafuate taratibu stahiki za nchi na SIMBACHAWENE asianze kupanga matumizi feki TANAWAJUA MAGAMBA WANAWEZA FICHA FEDHA ZOTE KWA AJILI YA UCHAGUZI 2015 chondechonde tuheshimiane na matumizi ya mapato yanayotokana na rasilimali za nchi yetu!