Waziri Muhongo aipiga 'stop' EWURA kupandisha bei(mpya) ya Umeme

Biyani

Member
Aug 7, 2016
76
144
EWURA YAPIGWA STOP NA WAZIRI MUHONGO:

Tumepokea taarifa za barua ya leo, 31 Dec 2016 kutoka kwa Prof Muhongo kwenda kwa DG EWURA ikisimamisha utumiaji wa bei mpya zilizotangazwa jana na EWURA.

Prof Muhongo ametumia madaraka aliyopewa na yako ndani ya Electricity Act, 2008.

Serikali haijapokea na kutathmini bei zilizopendekezwa na EWURA.

IMG_2150.JPG

IMG_2151.JPG


Uchumi wa viwanda unahitaji umeme wa bei nafuu.

VIVA TANZANIA
 
EWURA YAPIGWA STOP NA WAZIRI MUHONGO: Tumepokea taarifa za barua ya leo, 31 Dec 2016 kutoka kwa Prof Muhongo kwenda kwa DG EWURA ikisimamisha utumiaji wa bei mpya zilizotangazwa jana na EWURA. Prof Muhongo ametumia madaraka aliyopewa na yako ndani ya Electricity Act, 2008. Serikali haijapokea na kutathmini bei zilizopendekezwa na EWURA. Uchumi wa viwanda unahitaji umeme wa bei nafuu.
VIVA TANZANIA
Thanx,b'cause facts used behind were weightless.
 
Hii itakanushwa muda si mrefu sana..

Edit
Habari imethibitishwa na tbc muda si mrefu
Hoja hapa kama mamlaka ya Euwra yanaweza pinduliwa na waziri, kwanin haqakumshirikisha?
Kazi kubwa ya Ewura itakuwa ni nini kama Waziri anaweza ifanya na ana mamlaka ya kutosha?
Nimponheze prof Muhongo kwa aje?, ila hoja za kitaalam zinajbiw
 
Back
Top Bottom