Philip Mulugo
Makonda anaendana kas ya jpm
ampe yule mzigo aliyekuwa wizara ya majiHii Wizara tangu kuanzishwa kwake aliiweza Waziri mmoja tu, marehemu Jackson Makweta, kwa wale waliokula chumvi ya kutosha kidogo wanaweza kukubaliana na mimi. Kwa sasa Wizara hii changamoto zake ni ngumu mno kuliko hata Wizara ya Fedha na Uchumi.