Kama mzigo umewasili bila ya yeye kupewa nakala za importation dpcuments,lazima akaneJamaa yako mwanzoni akisema haufahamu kabisa huo mzigo,...all over sudden anataka watu walaaniwe na Mungu wake kisa wanauza mzigo asioutambua
....mwambie alipe kodi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip yale makontena 16 yaliyotolewa yako wapi mkuu ?Kama mzigo umewasili bila ya yeye kupewa nakala za importation dpcuments,lazima akane
Hata hivyo haiondoi umuhimu wa huo mzigo kupelekwa mashuleni
uliyaona yakitolewa?Vip yale makontena 16 yaliyotolewa yako wapi mkuu ?
....unaweza ukanitajia ule mzigo umeenda shule zipi kwa majina..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekazania bill of lading ndo kitu gani? Nyie majamaa ya lumumba ni vilaza sana yaan mkikaririshwa kitu kwenye vijiwe vyenu vya kahawa mnabeba tu bila upembuziEnheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of lading
Ndio hapo hoja yangu inapata nguvu,hawamuelewi Rais,na alishawahi hili kulizungumzia wizara ya viwanda na NEMC kupigana munda za kijinga
Hilo haliondoi umuhimu wa zile samani kwa shule zetuMKUU kabombe
Kumtetea Makonda inahitaji Moyo ,kiufupi Jamii hajitambui kwa nafasi yake hajui azungumze nini na kwa wakati gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jielekeze kwenye hizo taratibu za kisheria,kuishambulia lumumba haikusaidii kituUmekazania bill of lading ndo kitu gani? Nyie majamaa ya lumumba ni vilaza sana yaan mkikaririshwa kitu kwenye vijiwe vyenu vya kahawa mnabeba tu bila upembuzi
Una utapiamlo wa logic mkuu,n document gani inaonesha hayo makontena ni msaada kwa shule?Mzigo ni documented Paul Makonda na ni mtu binafsi sio taasisi.Mkuu jielekeze kwenye huo utaratibu wa kisheria kuhusu msamaha wa kodi hapo juu halafu uanze kuharisha humu
Wabunge wameingiaje hapa mbona umepoteza focus?Tatizo lenu mna double standards,wabunge wenu wakijiuzulu,na tukifanya uchaguzi kama sheria inavyotaka mnapiga kelele
Hapa tatizo ni Paul Christian Makonda sio sheria
Tukiweka jedwali la misahama humu tutakimbiana
Documents zinafanyiwa alterationsUna utapiamlo wa logic mkuu,n document gani inaonesha hayo makontena ni msaada kwa shule?Mzigo ni documented Paul Makonda na ni mtu binafsi sio taasisi.
Ni mfano tu bi zawadi,tupo pale pale
Jielekeze kwenye utaratibu hapo juu hata kama kungekua na shanga,je zinapswa kupata msamaha?Mleta mada acha uongo,hakuna madawati kwenye hizo contena
Usitake kuaminisha watu kuwa kuna madawati wakati ni samani za ofisini!Baada ya kuweka hilo sawa,nikuulize swali!Samani hizo zinachelewesha vipi elimu bure?Nakumbuka sera ya elimu bure haihusiani na samani za ofisini bali mtoto asilipe ada wala michango ya madawati!Jielekeze kwenye utaratibu hapo juu hata kama kungekua na shanga,je zinapswa kupata msamaha?
Elimu bure haitakua na maana kama walimu watakosa sehemu sahihi ya kusahihisha madaftari ma kuandaa mitala na mitihaniUsitake kuaminisha watu kuwa kuna madawati wakati ni samani za ofisini!Baada ya kuweka hilo sawa,nikuulize swali!Samani hizo zinachelewesha vipi elimu bure?Nakumbuka sera ya elimu bure haihusiani na samani za ofisini bali mtoto asilipe ada wala michango ya madawati!
Hiyo ni nadharia yako,ngoja jpm atoe bil 20 halafu wewe mkuu wa shule ukanunue samani za ofisini!Elimu bure haitakua na maana kama walimu watakosa sehemu sahihi ya kusahihisha madaftari ma kuandaa mitala na mitihani
sasa hivi walimu wanatumia madarasa na madawati ya wanafunzi kama ofisi zao,hiyo elimu bora itatoka wapi
Elimu bure haitakua na maana kama hao watoa elimu wanasahihisha madaftari na mitihani kwa kuweka pajani