Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

bill of lading
noun
a detailed list of a ship's cargo in the form of a receipt given by the master of the ship to the person consigning the goods.
Go back to school in Trump's voice
Kumbe una hekima ila unajifanya bashite
 
Hivi wenzetu mnatumiaga viuongo gani kufikiri? makonda ni nani hadi apewe exemption

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of lading
Ndio hapo hoja yangu inapata nguvu,hawamuelewi Rais,na alishawahi hili kulizungumzia wizara ya viwanda na NEMC kupigana munda za kijinga
....yaani wabadili kum favour makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jielekeze kwenye procedure nilizoonesha hapo juu,
Wangetaifisha kama Mali haina Mwenyewe..
Au Kila Mtu aanze kuagiza Ukiulizwa unasema ni Zawadi..nini tunakaribisha hapa?
Kama si Kujijenga Kisiasa,Kuna zawadi za bure Miaka hii!!??
 
Makonda anachelewesha makusanyo ya kodi, kiasi cha kupelekea jiji la kupitwa mapato na jiji la Dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kawaida katika kazi,nadhani suluhisho litapakana,hapo inahitajika busara zaidi...
 
Wangetaifisha kama Mali haina Mwenyewe..
Au Kila Mtu aanze kuagiza Ukiulizwa unasema ni Zawadi..nini tunakaribisha hapa?
Kama si Kujijenga Kisiasa,Kuna zawadi za bure Miaka hii!!??
Ni wapi imeandikwa kua ni zawadi?huo ni msaada
Hebu jiegemeze kwenye hizo taratibu nilizoweka kama mzigo haufai kutoka niambie kwa nn
 
Yani nchi hii kuna Watu majuha sijapata kuona.Yani sheria ibadilishwe ili kumfaa mtu asiyefikiri kabla ya kutenda?.
Sheria za Kodi sio za kuchezea hivo Labda Kama tunataka kutumbukiza nchi shimoni
 
Kumbe Makonda ana wapambe duni kiasi hiki ? Hapa bado kikongwe Le Mutuz naye hajakuja na uzi wake !
wewe mwenyewe ni muathirika wa samani mbovu ajabu hutaki kua na ofisi nzuri
 
Yani nchi hii kuna Watu majuha sijapata kuona.Yani sheria ibadilishwe ili kumfaa mtu asiyefikiri kabla ya kutenda?.
Sheria za Kodi sio za kuchezea hivo Labda Kama tunataka kutumbukiza nchi shimoni
Mkuu jielekeze kwenye huo utaratibu wa kisheria kuhusu msamaha wa kodi hapo juu halafu uanze kuharisha humu
 
Jamaa yako mwanzoni akisema haufahamu kabisa huo mzigo,...all over sudden anataka watu walaaniwe na Mungu wake kisa wanauza mzigo asioutambua
....mwambie alipe kodi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…