jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,975
- 4,264
Ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7 umepelekea kupungua kwa umaskini uliopindukia kwa Watanzania kutoka asilimia 38.8 mpaka asilimia 28.2 imebainishwa.
Taarifa ya upunguaji wa Umaskini iliyotolewa jana na Waziri wa Fedha imebainisha wakati wa kikao cha kimataifa cha tafiti zinazohusiana na malengo ya kupunguza Umaskini.
Pia Waziri Mpango alisema pia kwa ukuaji huu wa uchumi amewataka Watanzania kutumia fursa za kiuchumi ili kuwekeza na kuzalisha ajira zaidi.
Source
The Guardian 8th February 2017
Je hali halisi ipoje mitaani tofauti na hizi taarifa za kwenye makaratasi?