Waziri Mpango: Umaskini umepungua kwa Watanzania

Waziri Mpango: Umaskini umepungua kwa Watanzania

Haya magazeti yawe yanangalia na watu wakuhoji na mda wa kuhoji,mda mwingine mtu ana arosto. Majibu atakayoyatoa yanakuwa kama dhihaka.
 
Ni kweli kabisa... Sasa hata ma houseboy wanaweza kumiliki piki piki? Miaka ile ya tisini pikipiki zilikuwa zinamilikiwa na na Mwinyi...
So far, kasi ya kupungua kwa umasikini ni ya Konokoni, tufanye jitihada kabisa ili kuufanya umasikini kuwa historia barani Afrika...
 
mm nadhani anaogelea uchumi wao mafisadi na wakubwa wa nchi ndio umekua

ila uku kwetu mmhhh mi sisemi
 
Umepungua kwao mpaka wanapata ziada ya kuweka fedha kwenye bank za Uswis baada ya bank za hapa kujaa !!
 
mda mwingine matusi tunayotukana viongozi vichwani mwetu yanaweza kutuletea laana na dhambi tupu, nimeamua kupuuzia hii taarifa
 
Hizi ni statistics record nafikiri lazima ziwe na uhusiano wa moja kwa moja na hali halisi ya wananchi wa TZ. Bado watanzania wengi ni maskini sana tena wa kupindukia.
 
nitatapika bure
Tapika salama na uzushi wenu na kuwaaminisha watanzania uzushi! Mimi ni mwangaliaji mzuri wa TV zoote, naenda vijijini. Jinsi watu walivyokuwa wakienda mikutanoni kuna tofauti kubwa sana ya mavazi kati ya sasa na miaka kumi iliyopita! Kuna vigezo vingi sasa ninyi na uzushi wenu usio hata na data hata Observation tu inawashinda!
 
Ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7 umepelekea kupungua kwa umaskini uliopindukia kwa Watanzania kutoka asilimia 38.8 mpaka asilimia 28.2 imebainishwa.
Taarifa ya upunguaji wa Umaskini iliyotolewa jana na Waziri wa Fedha imebainisha wakati wa kikao cha kimataifa cha tafiti zinazohusiana na malengo ya kupunguza Umaskini.
Pia Waziri Mpango alisema pia kwa ukuaji huu wa uchumi amewataka Watanzania kutumia fursa za kiuchumi ili kuwekeza na kuzalisha ajira zaidi.

Source
The Guardian 8th February 2017


Je hali halisi ipoje mitaani tofauti na hizi taarifa za kwenye makaratasi?
Utawala huu ni sawa na Nicholai cesseacue Dikteta hatari la Romania lililotesa wananchi, wakilia shida wanaambiwa Kwa nini wakose hela ya chakula?
Aliuawa Kwa kupigwa risasi pamoja na mkewe.
 
Tapika salama na uzushi wenu na kuwaaminisha watanzania uzushi! Mimi ni mwangaliaji mzuri wa TV zoote, naenda vijijini. Jinsi watu walivyokuwa wakienda mikutanoni kuna tofauti kubwa sana ya mavazi kati ya sasa na miaka kumi iliyopita! Kuna vigezo vingi sasa ninyi na uzushi wenu usio hata na data hata Observation tu inawashinda!
Kumbe huwa unaangalia kwenye Tv? Sio kosa lako kuongea pumba.

Sisi tunashinda huko vijijini, tunaona hali halisi. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom