bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,946
Kamati nyingine za mazungumzo kama ile ya makinikia
Ahsante mwanahabari wa Ikulu, lakini hao manaibu uliowataja sio manaibu wa Wizara ya Nishati . ni manaibu wa MadiniMmemtaja aliyejigawia hisa???
Na huyo aliyevunja taratibu katajwa na atawajibishwa??
Nadhani umekosea njia.Ahsante mwanahabari wa Ikulu, lakini hao manaibu uliowataja sio manaibu wa Wizara ya Nishati . ni manaibu wa Madini
Kweli alisharekebishaAhsante mwanahabari wa Ikulu, lakini hao manaibu uliowataja sio manaibu wa Wizara ya Nishati . ni manaibu wa Madini
Nadhani umekosea njia.
Hicho ulichoandika hakihusiani na post yangu
Mmeshindwa kupata toka kwenye makinikia Léo mtapata kwenye kijikampuni cha simu ? Ujinga mtupu !Kwenye hili la airtel nipo na serikali yetu. Kama pamepigwa lazima tulipwe chetu
Ajabu!! Si walisema airtel ni ya serikali 100%?mbona tena wanataka kutudhulumu pasenti zetu 60 aisee!! Huyu mpango ni kuwadi wa mwizi?Mzee wa papara na mkulupukaji alidhani atachukua airtel kirahisi...Kuendesha nchi Inahitaji busara
Daaah ila
Vyuma vimekaza
Mkuu sikutaka kuchangia katika mada hii,ila naomba kukuukkiza,yaliyokuwa yanatendeka bandarini wewe unayaafiki?Kila siku mnasema nchi inufaike na keki ila badala ya keki mnaleta mawe yaliyorembwa kama keki. Kwendeni huko!
Kwenye madini mumeleta vurugu tupu, TPA nako mkaharibu haribu. Sasa mnageukia makampuni ya biashara! The silent killers!
Yaani hadi taarifa rasmi ya ikulu wanatumia maneno ya mitaani kama kuingizwa mkenge. Haya.
Taasisi makini haiwezi kunukuu kila kitu aisee. Hakukuwa na ulazima kunukuu kitu ambacho unajua sio stahili.Mkuu na mimi hilo nimeliona na nilitaka kulisema pia. Au labda kwa kuwa ni nukuu ya alichosema mzungumzaji, ndiyo sababu wakalitumia kama lilivyosemwa!
Serikali imesema ubinafsishaji wa Kampuni ya Airtel uligubikwa na ukiukwaji wa heria, Kanuni na Taratibu. Mazungumzo kufanyika ili nchi ipate haki yake.
> Kwasasa Serikali inamiliki 40% ya hisa za Kampuni hiyo ambayo inamiliki 60% ya hisa zilizobaki
> Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi amewasilisha Kanuni za Sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 kama alivyotakiwa kufanya hivyo kabla ya Ijumaa na Rais Magufuli
> Vitabu na nyaraka hizo zimepokelewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi
Ndugu usitegemee Jipya nawasikitikia tu wadanganyika wengi wanavyoimbishwa mapambioHilo tunafahamu! Tusichofahamu na ambacho tungependa kufahamu ni "what next!"
Kama ndo imeshatoka hiyo; tujuzane tu kiutu uzima manake misukule yenu huku bado inaishi kwa matumaini ya kuiona Tanzania kama Qatar!
Vingapi tulivyopigwa ambavyo tumeshalipwa Umeshapata NOAH?Kwenye hili la airtel nipo na serikali yetu. Kama pamepigwa lazima tulipwe chetu
Wanasheria wa Serikali ukifuatilia ni wale wale wazee wa dealWahusika wa mambo hayo ya ovyo sana wakamatwe na kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo. Hamna haja ya kukurupuka, uchunguzi ufanyike kupata ushahidi usio na shaka