Waziri Mpango: Ubinafsishaji wa Airtel kutoka TTCL, uligubikwa na ukiukwaji mkubwa wa Sheria, Kanuni na Taratibu

Ninachompendea JPM ni kufuatilia mambo anayoyaagiza. Jambo analitoa na mnaona mwisho wake.

Naiona harufu ya kunufaika kwenye Airtel kama tulivyonufaika kwenye Makinikia. Udumu JPM, polepole utaeleweka tu. Ili mradi unapigania watanzania historia itabaki kuwa mwalimu mzuri hata baada ya kumaliza muda wako.
View attachment 673133View attachment 673134
Kwaakili kama hizi sioni ni kwavipi wajinga mtaisha
 
Mkuu sikutaka kuchangia katika mada hii,ila naomba kukuukkiza,yaliyokuwa yanatendeka bandarini wewe unayaafiki?
Hilo mosi pili yaliyokuwa yanatendeka kwenye secta ya madini na serikalini watumishi kujikatia hiyo keki ya taifa peke yao,bila kushirikiana na wenzi wao wewe ulikuwa unaafiki?
Mpaka tumenufaikaje ndugu!
 
Ninachompendea JPM ni kufuatilia mambo anayoyaagiza. Jambo analitoa na mnaona mwisho wake.

Naiona harufu ya kunufaika kwenye Airtel kama tulivyonufaika kwenye Makinikia. Udumu JPM, polepole utaeleweka tu. Ili mradi unapigania watanzania historia itabaki kuwa mwalimu mzuri hata baada ya kumaliza muda wako.
View attachment 673133View attachment 673134
Kumbe ulinufaika na makinikia mkuu?mbona hukutustua na sisi?
 
Wahusika wa mambo hayo ya ovyo sana wakamatwe na kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo. Hamna haja ya kukurupuka, uchunguzi ufanyike kupata ushahidi usio na shaka
Wanaotakiwa kukamatwa ndio wanaotakiwa kuamrisha Askari wa kuwakamata so unawrmeza kuelewa nini kitafuata!
 
Mkuu sikutaka kuchangia katika mada hii,ila naomba kukuukkiza,yaliyokuwa yanatendeka bandarini wewe unayaafiki?
Hilo mosi pili yaliyokuwa yanatendeka kwenye secta ya madini na serikalini watumishi kujikatia hiyo keki ya taifa peke yao,bila kushirikiana na wenzi wao wewe ulikuwa unaafiki?
Kwa hiyo sasa hivi na wewe umekaribishwa kula keki?unaipataje?kipi kilichokuwa kikifanyika ambacho sasa hakifanyiki?
 
Kila siku mnasema nchi inufaike na keki ila badala ya keki mnaleta mawe yaliyorembwa kama keki. Kwendeni huko!

Kwenye madini mumeleta vurugu tupu, TPA nako mkaharibu haribu. Sasa mnageukia makampuni ya biashara! The silent killers!
Akili kama hii ilistahili kuishia utawaka wa awamu iliyopita. Naona umevuka na kuingia awamu hii bila kuelewa.
Tuungane kulaumu upuuzi wa awamu zilizopita kwa kutuingiza ktk hayao yote. Enzi zile za waziri kusema Mikataba ni siri ya serikali. Leo hii unaambiwa madudu yaliyofanyika, wewe unatamani kurudi huko huko!!
 
Sasa wewe ndiyo huelewi nimeandika hivyo kwa kusudi gani! Pia naamini wewe huwezi kufuatilia kwa ukaribu mwenendo wa serikali hii kuliko mimi ndiyo maana umeishia kupandikizwa mawazo.

Naona baada ya waziri kuwaita wanaovaa nusu utupu Lemutuz kaamua kabisa kuja na video ya utupu. Anawasalimu wana CCM woote popote mlipo!
 
Lakini yote haya yamefanyika chini ya Chama kimoja kilicho shika hatamu. Mara makinikia, mara vichwa vya treni vimeokotwa bandarini, mara magari kwenye kontena la mitumba yanguo, mara sijui airtel, shiiida kweli kweli.
Hivi yale magari ya kifahari yaliishia wapi waungwana.??
 
Ndugu usitegemee Jipya nawasikitikia tu wadanganyika wengi wanavyoimbishwa mapambio
....mimi nilifikiri inapotoka Startment na waliohusika wamesharukiwa kumbe blah blah Work
Uelewa na uwezo wa kuchambua mambo unapimwa kwa mambo madogo madogo sana. Kwa kutumia hilo neno startment uliloliandika nimekusamehe hata ulichocomment.
Kwa kukushauri jitahidi kupunguza chuki, palipo na mapungufu rekebisha na si kukandia as if nothing is done...!!
 
sasa mazungumzo ya nini kama kuna ushahidi kuwa taratibu zilikiukwa-nini maana ya serikali? unaanzaje kuzungumza na mhalifu?
 
Kila siku mnasema nchi inufaike na keki ila badala ya keki mnaleta mawe yaliyorembwa kama keki. Kwendeni huko!

Kwenye madini mumeleta vurugu tupu, TPA nako mkaharibu haribu. Sasa mnageukia makampuni ya biashara! The silent killers!
Umetumwa na Lissu !?
 
Hivi alipoongea Mtendaji Mkuu wa TTCL hakutuambia kuwa Airtel ni yetu kwa 100%? Mwenyekiti wa Bodi naye akathibitisha hilo? Iweje leo tunaambiwa yetu ni 40% tu? Iweje tunaambiwa kuwa mazungumzo yatafanyika badala ya shauri kupelekwa mahakama ya biashara au hata mahakama za kawaida kuwashtaki wezi walio tuibia kwa muda mrefu?

Watu wa ajabu sana hawa. Raisi kasema ni yetu 100%. Waziri kasema kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni, na taratibu. Halafu bado anahalalisha kwamba wanamiliki 60%, wataongea. Kwa taratibu, kanuni na sheria zipi? Waziri hawezi kazi huyu.
 
Vipi kuhusu makinikia?
Mahali tulipofika ukitaja makinikia utaambiwa mchochezi! Achilia mbali Yale mabilioni ya kuonyesha nia njema na makubaliano ya kugawana faida ya dhahabu nusu kwa nusu! Huko acha kukae kimya tu!!!!
 
Back
Top Bottom