TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Waziri Mkuu ameyasema hayo sasa hivi wakati anaendelea kutoa hotuba ya kufunga Bunge la 11 la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Waziri Mkuu amewataka Wabunge wa Upinzani kufikiria upya uamuzi wao wa kuwanyima wananchi haki ya kuwawakilisha. Waziri Mkuu amewakumbusha Wabunge wa Upinzani kuwa Mbunge amepewa haki ya kinga anapokuwa Bungeni na kwa maama hiyo hawajafungwa mdomo.