chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema wapinzani wanajaribu kujenga taswira kuwa kuna kuminywa kwa demokrasia nchini jambao ambalo sio la kweli, amesema mbunge hawezi kutoa hoja bungeni na kuzipeleka mtaani zijadiliwe na wananchi
amesema katiba imetoa haki na kinga kwa wabunge kuhoji na kujadili utendaji wa serikali lakini kinga hiyo haijatolewa kwa mwananchi yoyote nchini
amesema katiba imetoa haki na kinga kwa wabunge kuhoji na kujadili utendaji wa serikali lakini kinga hiyo haijatolewa kwa mwananchi yoyote nchini