izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,381
Kwa mujibu wa shirika lao la takwimu ni kuwa kwa kila siku nchini uholanzi safari za kila cku za wakazi wa nchi hyo ni 34.2% baiskeli 51.5% magari 14.3% usafiri wa umma safari hzo ni kwenda makazini,shule,masokoni, yani daily activities hii ni kwa nchi nzima wakati mji mkuu Amsterdam ni 70% wanatumia baskeli na inakadiliwa kuwa mtu mmoja anamiliki zaid ya baskeli mojabaiskeli zikiwa nyingi kuliko idadi ya watu inamaanisha mtu mmoja anaendesha baiskeli 5 tofauti?