Waziri Mkuu wa Houthi Ahmed al-Rahawi, ameuawa na Israel

Joined
Nov 20, 2021
Posts
23
Reaction score
142
Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya mkuu wa Houthi.

Kituo cha televisheni cha Al-Jumhuriya cha Yemen kimeripoti kuwa Waziri Mkuu wa waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran, Ahmed al-Rahawi, ameuawa katika ghorofa moja mjini Sanaa wakati wa mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel jana.

Gazeti la Aden Al-Ghad limeongeza kuwa Rahawi aliuawa pamoja na wenzake kadhaa.

-----------------

Yemen’s Al-Jumhuriya channel reports that the prime minister of the Iran-backed Houthi rebels, Ahmed al-Rahawi, was killed in an apartment in Sanaa during the Israeli strikes yesterday

The Aden Al-Ghad newspaper adds that Rahawi was killed along with several of his companions

It appeared from the reports to have been a separate strike from the one yesterday that was said to have targeted 10 senior Houthi ministers, including the defense minister, as they gathered in a location outside of Sanaa to hear a planned speech by the group’s leader, Abdul Malik al-Houthi

The outcome of that strike has yet to be made clear

Source: Times of Israel
 
Izrael Wana target Sana. HATIMAYE hili Sporter kuu la magaidi nalo limeingia kwenye 18
 
Don't play with mossad
 
This is a big blow to the terrorists and their JF sympathizers. Let the almighty God bless the Israelis and continue to give them strength to enable them decimate and obliterate the all satanic terrorists and completely destroy their terrorist infrastructure worldwide.
 
Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya mkuu wa Houthi.

Kituo cha televisheni cha Al-Jumhuriya cha Yemen kimeripoti kuwa Waziri Mkuu wa waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran, Ahmed al-Rahawi, ameuawa katika ghorofa moja mjini Sanaa wakati wa mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel jana.

Gazeti la Aden Al-Ghad limeongeza kuwa Rahawi aliuawa pamoja na wenzake kadhaa.

-----------------

Yemen’s Al-Jumhuriya channel reports that the prime minister of the Iran-backed Houthi rebels, Ahmed al-Rahawi, was killed in an apartment in Sanaa during the Israeli strikes yesterday

The Aden Al-Ghad newspaper adds that Rahawi was killed along with several of his companions

It appeared from the reports to have been a separate strike from the one yesterday that was said to have targeted 10 senior Houthi ministers, including the defense minister, as they gathered in a location outside of Sanaa to hear a planned speech by the group’s leader, Abdul Malik al-Houthi

The outcome of that strike has yet to be made clear

Source: Times of Israel
Habari kutoka Aden hahahaha wanao wapinga Al Houth hahaha mmeishiwa
 
Sasa akifa kwani kuna shida gani? Watu wanapoingia vitani wanajua kabisa kuwa kuna kufa so ni kipi cha ajabu hapo. Si anateuliwa mwingine tu. Mbona Magufuli kafa na nchi haijasimama.

Umeonaje pale Iran baada ya rais wao kufariki mwaka jana je kuna mabadiliko yeyote?

Nyie ni wapuuzi tu. Yemeni ina mamiioni ya watu na wapo watakaochukua hizo nafasi hata wakiua 100 zitajazwa na vita iatendelezwa ilipoishia
 
Exactly
 
Izrael Wana target Sana. HATIMAYE hili Sporter kuu la magaidi nalo limeingia kwenye 18
Safi sana, Wayahudi, wenzangu, kimbiza kabisa hayo ma Islamists,
Qatar, saudia,ndio wanawapa, siraha Boko Haram, alshababy, na magaidi, yote ya, sahel,yanayosumbua, Mali, Burkina Faso, niger,
Siraha, za, kumuondoa Bashar alassad, zilipitia, Qatar, Saudia, kuna waarab/islam wanakufa kila siku hutasikia Al Jazeera ikitangaza, Arab/muislam akiua Arab/muislam mwenzie hakuna kelele,
Bangladesh inatimua rohingya Muslim, haiwataki, na, ni, nchi ya, kiislam, hutasikia, kelele,
 
Sasa akifa kwani kuna shida gani? Watu wanapoingia vitani wanajua kabisa kuwa kuna kufa so ni kipi cha ajabu hapo. Si anateuliwa mwingine tu. Mbona Magufuli kafa na nchi haijasimama.

Umeonaje pale Iran baada ya rais wao kufariki mwaka jana je kuna mabadiliko yeyote?

Nyie ni wapuuzi tu. Yemeni ina mamiioni ya watu na wapo watakaochukua hizo nafasi hata wakiua 100 zitajazwa na vita iatendelezwa ilipoishia
Hi mikenge mivaa misalaba akili zao ziko kama misalaba yachukulieni tu yalivyo
 
Back
Top Bottom