PreGE2025 Waziri mkuu: Serikali tutahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani na utulivu, Tume huru ya uchaguzi wametuambia watausimamia kwa uhuru, haki na uwazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

"Tume huru ya uchaguzi wametuambia watausimamia kwa uhuru, haki na uwazi" Tume ipi hiyo ? ambayo imechaguliwa na Samia/CCM??​

 
"HAKI" ndio italeta Amani + Utulivu, na si vinginevyo

Sijui hawa CCM wanalielewa hilo...!!
 
Eti tume wametuambia🤣🤣🤣🤣
 
Hivi ni vichekesho Toka Kwa PM,Sasa wewe kama mgombea wanakuambia ili iweje,kwanini act hawaambiwi!?

Huu ni ushahidi mwingine kuwa tume ya uchaguzi ni ya CCM
 
Majaliwa ogopeni Mungi kwani mwaka jana 2024 Boss wako aka Presida alisemaje? na mambo yalikuwaje??????
Oneni aibu na iwatume kunyamaza.
Nani kaiteua hiyo inayoitwa Tume huru? Si ni mgombea urais wa CCM? Nani kawateua returning officers (wakurugenzi wa Halmashauri aka maafiaa waandamizi) wa Tume hiyo si ni mgombea huyo huyo wa CCM!!!!!
Acheni kutufanya viazi na vilanza wenu.
 
Hivi huwa hainiingii akilini kuwa wasioweza kujaza kale ka simple form ya mgombea ni wapinzani tu .Yaani huyo huyo akiamia CCM form anaweza kujaza haina makosa walahi.Mimi hamnioni ng'ooo heti mkanipake mawino yenu ,nipange mstari bora nilime mboga zangu nile kwa kweli
 
WW MPAKA PIKO NN ANAWEZA KUWAAMINI TENA? WW HT UNACHOKNGEA HUKIAMINI NA MACHO YK YANAOMGEA HAKITOKI MOYONI. NO REFORMS NO ELECTION
 
Ni hapo mhusika anapohakikishia washindani wake kuhusu mashindano kwamba kila kitu kitakuwa haki
 
Mzee Majaliwa kama kukemea wizi na mengine imekuwa nguvu isipokuwa kuchukua haki za watu e.g LBL,basi hata hili mkuu hamliwezi
 
Mnasubiri wapinzaniwatie pua zao kwenye uchaguzi muwapige za uso kama miaka ya nyuma. Hivi kuna ugumu gani wa kuondoa kasoro zinazotajwa na wapinzani kwenye tume ya uchaguzi
 
Huyu siyo wa kumwamini hata kidogo. Amejaa ushetani. Mwaka 2020 alifanya ushetani wa hali ya juu ili apite bila kupingwa. Ndiye aliandaa mauaji ya mpinzani wake aliyetekwa na watu wake, wakampiga na kumwacha mahtuti, akanusurika kufa, akiwa mahtuti hospifali, yeye akatangazwa amepita bila kupingwa. Kinyume cha katiba inayotaka PM awe mbunge aliyechaguliwa, yeye akatangazwa PM, akiwa hana kura hata 1 ya kupigiwa na mtu yeyote.

Huyu ni mwongo, ni shetani. Apuuzwe.
 
Chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…