WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

Lowassa umejifunua uchi wako nilikuamini kama mwanaume kumbe mwoga sana wewe mamvi unampiga mtoto? Tena mmeru mwezio? Unataka urais ili utuuwe? Hasira za nini kakupiga arumeru wewe na mkweo na hapo ungepigwa tena.
 
Kitaifa vipi? Kufa au kuzika?

hakuna aliyependa watu wafe mkuu hata kama niserikali haipendi watu wafe, lakini mazishi niyaserikali mkuu.
inawezekana ni adui wa nje wanataka tufarakane tu!
 
hilo bomba halipo katika jimbo la Nasari, huo ni uchochezi, chanzo cha maji kipo Bangata ambayo ni jimbo la arusha magharibi, nina wasiwasi na hao waliokwenda kukata hilo bommba la maji....
Nasisitiza tena nampa pole mama yako alie kulea tumboni miezi 9 laiti angejua......!!
 
attachment.php
 
Wewe hauna akili sawa sawa.
Wenye maiti yao wanataka kuzika wenyewe, sasa serikali inaingiaje hapo?
Wafiwa wanaamini ndugu zao wameuwawa na serikali ni vipi tena serikali ing'ang'anie kuzika hao watu?

na sikuwa serikali itazika yenyewe mkuu ni kutoa gharama zamazishi hata iweje sisi niwatanzania ni ndugu nikawaida yetu kushirikiana kwenye shida na raha, TUNAANZA LINI KUSEMA HUU MSIBA WACHADEMA NA HUU WA CCM TUACHE TABIA ZAKISHETANI HIZI MKUU, TUSAMEHEANE NA KUSONGA MBELE MAISHA YANAENDELEA SI MWISHO WA MAISHA MKUU!
 
Siyo kukata tu bomba ingetakiwa waweke sumu kabisa ili tuteketeze hicho kizazi cha nyoka.

Sishangai maneno yenu Chadema. kama. Mlizidiwa na mkaonakama mtaaibika kwenye uchaguzihivyo mkaamua kuwalipua wenzenu ili mpate Kura za huruma ndio mtashindwa kuwawekea simu watu wa monduli?
 
stroke,nimeamini majina humwumba binadamu.Mleta mada amesema 'vijana wa kimeru' ,hakusema vijana kutoka jimbo la Mh Nasari.Hivi kuna jimbo la arusha magharibi?Shirikisha ubongo hata kama una 'stroke',huenda haujafa wote.

Hujui kitu wewe, kaa kimya, nilidhani naongea na mtu anyejua vyema mazingira ya huko kumbe hata hujui, kajipange urudi tena
 
Wana Jf,

Siyo muda mrefu vijana wa kimeru wenye hasira wamekata Bomba la maji linalotokea Meru kwenda Monduli.

Hii inatokana na kitendo cha Green Guard waliotumwa na Lowassa kumpiga mbunge wa Joshua Nassari ambaye amelazwa hospitali ya Seliani, pamoja na mawakala wengine wa CHADEMA ambao wamepigwa vibaya sana na Green Guard wa Lowassa na CCM

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
kumbe lowasa mweupe kama mvi wake, ivi ndo anataka kugombea urais mwehu uyu,......nimeipenda sana
hiyo ya kukata mabomba ya maji....bigup sana wameru....na wakiunga kateni tena mpaka washike adabu
 
msiba wa mtu binafsi utakuwaje suala la kitaifa? Taifa gani?, tanzania sasa hivi kuna mgawanyiko mkubwa hata kujiita "taifa" inataka kichaa. Taifa gani? Hili hili lisilojali raia wake mpaka wanapokufa? Tena kwa kutaka pointi za kisiasa?

Huu ulikuwa mkutano wa chadema. Chadema ni chama cha upinzani. Wanachama na wafuasi wake wengi - inawezekana hata waliofariki- hawaipendi ccm na serikali yake. Na mimi siwezi kuwalaumu kwa hili.wataipendaje serikali isiyoweza kuwahakikishia ulinzi hata kwenye a political rally tu?

Pinda anafikiri hawa watoto wadogo? Unawaua (hata kama hawakuuawa directly na serikali, serikali kutotoa ulinzi ni uzembe na imeshiriki kuwaua) halafu unawapoza jamaa zao kwa peremende ya "mazishi ya serikali"?

Serikali italazimishaje kuzika watu wasioipenda?

Pinda alifanya mawasiliano gani na ndugu wa marehemu kujua kama watapenda ndugu zao kuzikwa na serikali?

Anajua mila zao wote zinavyosema kuhusu suala la kuzika? Kuna watu wengine wana mila zinazotaka maziko yafanywe na ndugu , haoni kwamba kwa kuiingiza serikali kiranga cha maziko ka boogie step?

mkuu serikali itatoa gharama zamazishi kwanini chadema mntataka uwe msiba wenu wakati waliokufa niwatanzania na huenda hawana hata vyama na wengine watoto wadogo, utanganyika nimuhimu kuliko uvyama mkuu!
 
mkuu hili nisuala la kitaifa mimi naona kafanya sahihi kusema serikali itazika, ulitaka azike nani mkuu?
Mkuu KIHENGE,kwani nini chanzo cha vifo?Hawa marehemu walilipukiwa na bomu wakiwa kwenye mkusanyiko wa kisheria.Nani aliyerusha bomu?!!Vifo havijasababishwa na magonjwa ya mlipuko yanayoambukiza,kwa nini serikali ing'ang'anie kuzika?Serikali inaogopa watafufuka?Mbona wale waliouawa na polisi Arusha wakati wa maandamano ya CDM hawakuzikwa na serikali?Wailokufa kwenye mlipuko wa Kanisani kwa nini hawakuzikwa na serikali.?Kwa nini serikali inaingilia uhuru wa mtu kumzika ndugu yake?Serikali inaogopa maiti?
Hao ni marehemu,wako wagonjwa wengi mahospitalini na manyumbani ambao hawana ndugu wa kuwatunza,serikali ikawahudumie.Waache hao wafu wazikwe na wapendwa wao.
 
Pinda anapata wapi uwezo wa kusema serikali itazika watu?

Au bado anafikiri kuzikwa na serikali ni jambo la heshima bila hata kujua wafiwa wanataka nini?

Anafikiri kila mtu anaendekeza umasikini na kubeba ukondoo kwa mbeleko?

Mkuu huyu ni kiranja mkuu katumwa na kaka mkubwa...
 
Siyo kukata tu bomba ingetakiwa waweke sumu kabisa ili tuteketeze hicho kizazi cha nyoka.

Mzee itakuwa haina maana,coz kule hawapo CCM tu,na hata kama wangekuwepo CCM peke yao kutoa uhai wa mtu waachie wenye uwezo huo ila si kuua kwa ajiliya siasa au madaraka.

Ilipotolewa statement kitambo kidogo kuhusu udhaifu wa serikali zilitoka kauli nyingi sana,lakini mwenye akili haitaji kutafakari....bali jibu lipo na nchi nzima tunaonekana ni wehu mbele ya macho ya kimataifa ila ndani tunanyosheana vidole.
 
Toa uchafu wako hapa.
Huwezi kupost kitu bila ya kuitaja CHADEMA?
You try to balance the story inorder to hide your stupidi..
Sema wazi Pinda kachemka ama Pinda ni mchawi mkubwa.
Pinda anataka kuchukua maiti za watu za nini?

Ndugu wameshasema wanataka kuzika maiti zao wao wenyewe.
Wako tayari kushirikiana na CHADEMA pekee katika tukio hilo. Hawataki msaada wowote wa serikali katika mazishi hayo.
I wish, matusi yangekuwa yanauzwa dukani na siyo free. Watu kama wewe msingeweza kuyanunua.

Watu kama wewe hamuwezi kuandika sentensi moja bila kuweka matusi kwa sababu hayana gharama. It's free.

To the foolish, every utterance of nonsense seems like wisdom.

Wewe ni nani wa kunichagulia kile cha kuandika hapa JF.

Tumeamua tu kuvaa ustaarabu ndiyo maana hatutukani. Sishangai pamoja na kwamba heshima ni free, lakini hujaichukua na kuifanya kuwa sehemu ya maisha yako.

I wish, intellect could to free, but the price for benigheted like you is sky high na haishangazi mpaka sasa hujaweza kununua.

Wewe niwa kupuuzwa tu.
 
edo, namfananishaga na yule edo tapeli kwenye tamthiliya ya mamushka, naona hata tabia zao ni sare sare. mi si niliwaambia siku moja edo alikwenda kwa tbj kuwanga, sema tu alikosea njia, tb hawangishagi yule, angeuliza kule kule angeonyeshwa masangoma kibao tu. kwa kutokufuata ushauri wa tb wa kutubu na kurudisha alivyokwapua ataona mziki wake
 
Back
Top Bottom