mbinayamaswa
Member
- Feb 26, 2011
- 9
- 0
Inashangaza waziri mkuu anapotoa tamko harafu linashindwa kutekelezwa , katika ziara aliyofanya mkoani kagera alikemea kupanda kwa bei ya sukari ukizingatia kunakiwanda 70km kutoka bukoba manicipal , lakini hakuna hata godown la sukari bk ,sukARI ikizalishwa inapelekwa mza, wafanyabiashara wanachukulia mza, kinachosikitisha bei ya sukari iko 1900 hadi 2000, na bunge akiwa hapahapa inavyoonekana kunamkono wa wakubwa kama mbunge ,wana jf wananchi wafanye nini kama mawaziri wanatoa ahadi na hazitekelezeki? anda: