Mungu aliumba mbingu na nchi na vyoto viishimo. alimuumba binadamu kwa sura na mfano Wake, akampa akili ya kutambua mema na mabaya. tukapewa na mamlaka y akutawala viumbe vingine vilivyomo duniani
wanyama wa porini wenyewe hawajamiiani kwa jinsia moja iweje binadamu tujihalaishie haya mambo?
Ushasema kwamba mungu kaumba vyote, kwa nini kaviumba sasa?
Objections kwa huyu PM kuoa mwanamke mwenzake zinatokana na a morality that is based on wrong grounds and tradition.Objections ziko based on the untruth kwamba kuna mungu, na mungu anataka tuishi hivi na sio vile. Ukitazama sana concept ya mungu utaona mungu hawezi kuwepo, at least huyu personal god. Mimi kama PM yuko happy, na mkewe (mkewe? partner? this can be challenging) yuko happy, mimi sina tatizo. Ni bora kuwa na wanawake wawili waliooana katika furaha kuliko kuwa na ndoa ya mwanamke/mwanamme iliyowekwa pale kisiasa kwa sababu ya PR huku nyuma ya mapazia watu hawasemi.
Civilization's (mainly Western civilization's) na Christianity/ religion's strongest case against same sex marriage is the case for procreation, which to me is a rather valid case in so far as you cannot procreate within the same sex. Lakini, wakati tuna an overpopulated world na kwa hiyo procreation inaweza kuwa si desirable, wakati personal values and priorities zina umuhimu sawa au zaidi ya societal ones, na kama hakuna conflict kati ya personal na societal values at least itakayo invalidate personal objections, wakati ambapo watu wanataka ku maximize furaha yao katika miaka hii michache ya hii interlude between birth and death we call life, utawezaje kumpangia mtu maisha kwa sababu ya morality ya kidini? Au kwa sababu same sex marriage haitoi watoto? This is so medieval as to be unbelievable in any modern man.
Mimi sipendi moshi wa sigara, lakini as long as mtu anajivutia sigara zake kwake na hajanipulizia moshi wa sigara yake puani mwangu, sina tatizo kama anavuta sigara moja kwa siku au packs 20.It is his funeral so to speak. Hata kama same sex marriage kweli ni mbaya, kwa nini tushikie bango maisha ya watu wengine? Sisi wenyewe tumemaliza matatizo yetu? Sisi wenyewe hatuna mabaya?
Ninataka kuishi maisha yangu kadiri ninavyoona sawa, na sitaki watu wengine waniambie mimi jinsi ya kuishi maisha yangu tofauti na ninavyoona mimi.Kwa kuelewa the golden rule, kwamba wafanyie wenzako vile unavyotaka wenzako wakufanyie wewe, kwa kuwa sitaki wenzangu wanipangie maisha, kwa mfano sitaki wenzangu wanipangie niende na wanaume wenzangu kujamiiana, naona si sawa na mimi kuwaambia wenzangu jinsi ya kuishi maisha yao, sioni awa kumwambia mwanamme au mwanamke asiende au kuoana na mwanamme au mwanamke mwenzake.
Hata kama uki invoke African traditions, which is objectionable....
Ukitaka kuwapangia wazungu jinsi ya kuishi unaingia katika reverse cultural colonialism.Tulitaka uhuru kwa kukataa ukoloni, kwa nini sasa tumepata uhuru (wa bendera albeit) tunataka kurudia ukoloni wa kuwaambia watu tofauti na sisi jinsi ya kuishi maisha yao ?
Kuhusu your misinformed case against homosexuality due to lack of evidence in the animal kingdom (apart from humans) hebu jaribu kusoma hapa chini.
Homosexual behavior in animals - Wikipedia, the free encyclopedia
This is an entirely personal matter, ukianza kuacha society (as opposed to mtu binafsi) iamue nani anafaa kuwa na nani, kesho uwe tayari kuchaguliwa mume na keshokutwa society hiyo hiyo inayo condemn homosexuality leo, ikiamua ku embrace homosexuality na ku shun heterosexuality, na kukuambia ni lazima uolewe na mwanamke mwenzako, uwe tayari kukubali yote hayo, si unaamini compass ya societal collectivity bwana?