Waziri Mkuu Mstaafu Akiwa Mekoni

Waziri Mkuu Mstaafu Akiwa Mekoni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
12932569_1484418244905922_7957877215870101681_n.png
 
Mzee wa "utapigwa tu" naona anashughulika kweli huko kijini!
 
Kama mkwere bila aibu aliwatosa waliomweka madarakani itakuwa yeye? Hiyo ndio CCM tunaposema CCM ni wanafiki msishangae
 
kinachonishangaza kuita wapiga picha hapo
 
Hapo kwake naona wanapigwa sana
 
Yote ni maisha tuu jaman

Hapo Angekuwa yure Simba wa Arusha...... ????

Povu lingewatoka you Vi Thithim
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom