Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 26,003
- 96,256
Basi hicho cheo hakina maana yoyoteMakatibu tawala
Basi hicho cheo hakina maana yoyoteMakatibu tawala
think outside the boxKwani Arusha ilishakuwa kwenye mpango wa kuwa makao makuu ??
Aisee kama hivi ndio kufikiria outside the box wacha nibaki tu kwenye hilo Box ,hapa tunaongelea swala la serikali kuhamishia shughuli zake Dodoma kama mji mkuu wewe unaniambia habari za chadema na ccmthink outside the box
baada ya ARUSHA kuchukuliwa na chadema serikali ilihamishia dar shughuli karibu zote zilizokuwa zikifanyika arusha hapo kabla
na sasa Dar imechukuliwa na CHADEMA Wanaikimbia
next plan sasa ni chadema kuwakimbiza hata huko dodoma
Ndio maana waliochoka wakasema kabla ya ku declare total failure basi tuiweke ccm pembeni kwanza ili hata atakayekuja akirudia hayo basi tuandike barua rasmi kwa mkubwa Trump atuletee kuanzia juu kabisa hadi wajumbe wa nyumba kumi kusimamia hiyo miaka 100 mingine!Naomba ufafanuzi, toka zamani najua Dodoma ndio makao makuu ya Tanzania. Je ilikuwa sio kisheria?
Naomba ufafanuzi, toka zamani najua Dodoma ndio makao makuu ya Tanzania. Je ilikuwa sio kisheria?
Naomba ufafanuzi, toka zamani najua Dodoma ndio makao makuu ya Tanzania. Je ilikuwa sio kisheria?
Naomba ufafanuzi, toka zamani najua Dodoma ndio makao makuu ya Tanzania. Je ilikuwa sio kisheria?
Una points hapo ni kikao gani kilikaa kikaaua serikali ihamie Dodoma mbona ktk ilani ya CCM hatulioni. Bajeti ipi itabeba hizo gharama. Au ni utashi wa mtu mmoja?,Ukiangalia priorities za mpango wa miaka mitano hata hilo la Dodoma halipo, priorty ya kwanza ni viwanda, cha pili ni elimu ambayo itaendana na maendeleo ya viwanda. Na viwanda vinavypewa kipaumbele ni vele vya processing, kama vya ngozi, mazao, chuma, juisi etc. na elimu inayopewa kipaumebel ni mambo ya utafiti na technician etc. Sasa hili la kuhamia Dodoma limetoka wapi? Is is a priorty for Tanzanians.
Swala la afya na lishe ambalo ndio ambalo ni muhimu kwa kuzalisha watu wenye akili naona linapigwa chenga. Tanzania tutanedelea kuwa taifa la ajabu sababu ya kukosa viongozi ambao hawana strategic directions. Ningefurahi sana kama ningeona vipaumblele vinaendana na mpango wa miaka mitano lakini wapi. Je serikali ikihamia Dodoma ndio viwanda vinakuja au elimu imeboreshwa?
Elewa kidogo, umeambiwa Bandari kavuMaelekezo mazuri na yenye ufafanuzi wa kutosha ila hapo kwenye eneo la bandari kavu ndio kwenye utatata au kwa vile dodoma hamna bandari ya bahari?