Waziri Mkuu: Mji Mkuu Dodoma kuthibitishwa kisheria

Waziri Mkuu: Mji Mkuu Dodoma kuthibitishwa kisheria

Hivi Kipaumbele na Mipango ya Miaka Mitano ya swisswism ni vipi katika Taifa hili la kusadikika?????????

Maana nianona na hakika hakuna hili katika hata ahadi au Mipango yao ya Kuhakikisha Serikali yote inahamia Dodoma kwa Uongozi wa Awamu hii ya 5.

Ni Suala jema na zuri lakini, je liko katika mipango thabiti na kamilifu kwa maana ya Bajeti zote na mipango yote hutegemea Pesa TU?????

Bado ni ile ile ....mbele kwa mbel TU.........haiwezekani kufanikisha hili within 5 Years kama hakuna pesa na hakika Kwa Hisani labda CHINA TU na kama ndivyo basi ina maana ndoto zingine zitafutika kama vile Serikali ya Viwanda ambayo nayo ilikuwa ni njozi kutokana na Bajeti Finyu, n.k.

Anyway ninarudia tena na tena yangu ni macho na masikio na kila la Kheri zaidi tuwe na kumbukumbu tu ilmradi ili tuweze kuwajibishana mwisho wa siku au safari kwani ni ADHABU TU 2020 na hakuna JINGINE HAPA.
 
Mbona sie twajua makao makuu ni dodoma au huo muswada wa nini tena. Plz hamieni fasta hizo longolongo za mpaka kupeleka bungeni zitatuchelewesha bure. Dodoma ndi capital hata umuulize mtoto wa std 2
 
Mpango kazi wa kuugeuza mji kuwa makao makuu ya shughuli za serikari pamoja na kuwekewa services zingine muhimu za mji mkuu uandaliwe kwa wiki mbili. Labda kama wanaamia Dodoma na majengo yao kutoka Dar.

Maajabu yenyewe baada ya wiki mbili kwa Tanzania hili swala linawezekana.
 
Ukiangalia priorities za mpango wa miaka mitano hata hilo la Dodoma halipo, priorty ya kwanza ni viwanda, cha pili ni elimu ambayo itaendana na maendeleo ya viwanda. Na viwanda vinavypewa kipaumbele ni vele vya processing, kama vya ngozi, mazao, chuma, juisi etc. na elimu inayopewa kipaumebel ni mambo ya utafiti na technician etc. Sasa hili la kuhamia Dodoma limetoka wapi? Is is a priorty for Tanzanians.

Swala la afya na lishe ambalo ndio ambalo ni muhimu kwa kuzalisha watu wenye akili naona linapigwa chenga. Tanzania tutanedelea kuwa taifa la ajabu sababu ya kukosa viongozi ambao hawana strategic directions. Ningefurahi sana kama ningeona vipaumblele vinaendana na mpango wa miaka mitano lakini wapi. Je serikali ikihamia Dodoma ndio viwanda vinakuja au elimu imeboreshwa?

Hawa jamaa ni hatari sana, wanaacha priorities wanadandia mambo yasiyoleta tija kwa raia. Mfano mdogo, Je mtu anaeishi Lindi, Mtwara au Ruvuma atanuifaika vipi na serikali kuhamia DODOMA?
 
uploadfromtaptalk1469639190696.png
 
Kazi ipo.....kwani mji mkuu uliothibitishwa kisheria ni upi!!!!?
 
ivi kuna bus ya mtwara dodoma?? au ruvuma dodoma,songea dodoma? najiuliza tu
 
Hayo mahoteli anadhani ya ajengwa jengwa tuuu?? Ili nani akakae humo!?
Yake ya sinza si Rais alichekelea hayana wateja? Sasa mnataka mengine ya nini
 
Makao makuu ya nchi tumeambiwa ni dodoma toka enzi za mwalimu, sasa hizo proposal sijui miswada inakujaje.... mlikuwa mnatudanganya
Chama Kinatishia Kujamba Wakati Kinaharisha
Tegemea Kuona Kikijinyea Hadharani.
Tangu Mwl Hata Chekechea Inajulikana Mji Mkuu Ni Dodoma
 
Back
Top Bottom