MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Jana nilisikia waziri mkuu akisema mwaka huu wa fedha 2016/17 wataajiri walimu wa sayansi na hisabati 4000 tu mwaka jana waziri mkuu alipokuwa akiongea na watumishi wa umma ilala DSM alisema serikali itaajiri walimu 71000 mwaka huu wa fedha je ? Waziri mkuu matamko haya yako yanatupa picha gani ? Sisi watanzania ? Unakuwa kama waziri wakati wewe ndoo mtendaji mkuu wa serikali ?
Waziri mkuu ulisema zoezi la uhakiki wa watumishi hewailiishe na ukatangaza kuwa limeisha halafu waziri wa utumishi wa umma akaja kusema uhakiki bado hapa na mkubwa kiutendaji ? Hivi kwanini usitumie mamlaka yako kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa?