johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,048
- 142,160
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Rais Samia ameridhia na kuagiza Wanafunzi wote wenye sifa za kupata mkopo wa Elimu ya Juu na ambao walipitishwa na Bodi ya mikopo wapokelewe Vyuoni.
Ikumbukwe mbunge wa ubungo Prof Kitila alisema bungeni kuwa Wanafunzi walipitishwa na Bodi ya mikopo ni zaidi ya Elfu 80 lakini Bajeti walivyopitisha ni ya Wanafunzi Elfu 42 tu.
Chanzo: ITV habari
Ikumbukwe mbunge wa ubungo Prof Kitila alisema bungeni kuwa Wanafunzi walipitishwa na Bodi ya mikopo ni zaidi ya Elfu 80 lakini Bajeti walivyopitisha ni ya Wanafunzi Elfu 42 tu.
Chanzo: ITV habari