Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,475
- 45,784
Kamba hizi
Daaaah,ndio maana wanaushirika wanapata tabu sana nchi hii,hawana vyombo vyao vya kuwapa mitaji kwa kuzingatia hali za vyama vyao^Kijana wangu, kwa kasi hii ya ubinafsishaji unaoufanya nchini, siku moja tutaamka asubuhi umebinafsisha mpaka jeshi letu^~ Ilisikika sauti ya mzalendo mmoja kutoka Butiama.
Wazungu wanatujua kwamba ni hopeless species, angalia hii namna wanavyo tudharau. HAIWEZEKANI mtu una resources za kila aina miaka 60 ya uhuru bado tunakuwa omba omba hadi tujengewe matundu ya choo.Nasikia hangaya huko majuu uzunguni kuna mikataba kadhaa atasaini mbele ya hao wazungu. Kwa kweli Mungu atunusuru.
Hakuna haja kwa sasa kuligawa shirika la tanesco.Waziri mkuu mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema patahitajika umakini mkubwa sana kama itaonekana kuna haja ya kuligawa Shirika la Umeme Tanesco.
Source: Radio One
Sawa .....umakini mkubwa sana ndio upi? Atueleze kirefu ana maana gani, na atoe point zake za kututabainisha huo umakini mkubwa sana tuuchambue. Hapo atakuwa ametusaidia.Waziri mkuu mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema patahitajika umakini mkubwa sana kama itaonekana kuna haja ya kuligawa Shirika la Umeme Tanesco.
Source: Radio One
Chui Jike.
Majaliwa ni kama yupo sahihi, naona anawapunguza speed kwa kuwa aloongea ni mbunge wa ccm na mfanyabiashara (tarimba) inawezekana anachokonoa lakini mipango ishasukwa kwa iyo majaliwa anawakumbusha wawe makinNasikia hangaya huko majuu uzunguni kuna mikataba kadhaa atasaini mbele ya hao wazungu. Kwa kweli Mungu atunusuru.
Majaliwa ni PM, ashupaze misuli, hawa watoto wa watumwa wanawahadaa Watanzania. Hebu akapitie kurasa tano tu za Marehemu Sokoine ili afahamu uwezo mkubwa aliopewa wa kuwa Waziri Mkuu (Prime Minister), waache kumchezea. Watanzania wengi wanamtegemea, kama hawezi kutumia nguvu alizopewa aachie ngazi.Majaliwa ni kama yupo sahihi, naona anawapunguza speed kwa kuwa aloongea ni mbunge wa ccm na mfanyabiashara (tarimba) inawezekana anachokonoa lakini mipango ishasukwa kwa iyo majaliwa anawakumbusha wawe makin