johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Una hangover kali sana but pole maana dunia inasonga mbele tu huku yeye alishaliwa na funza siku mingiHamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
Kiongozi salama huko au umepinduka na mtumbwi baharini?Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
Kwani Rais gani aliyeiongoza Tanzania ambaye kazi zake hazionekani kwa macho mkuu. Huku Kusini tuna Daraja la Mkapa na Umoja. Huko Dar mna Daraja la NSSF, na Uwanja wa Mkapa na Terminal III. Kule Kigoma kuna Daraja la Malagarasi, kule machipi kuna Daraja la Ifakara. Mbona yote hayo ni maendeleo ya kuonekana kwa macho ya waliopita kabla yake. Acheni uboya yeye alitimiza yake na wengine pia.Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
Unamaanisha Zito huyu mkuu au?Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
Huna akili. Nyerere alishaliwa na funza siku nyingi. Je hatuko maye kila siku? Na magufuli upende usipende tuko naye.Una hangover kali sana but pole maana dunia inasonga mbele tu huku yeye alishaliwa na funza siku mingi
Uko naye wewe na malaya wenzioHuna akili. Nyerere alishaliwa na funza siku nyingi. Je hatuko maye kila siku? Na magufuli upende usipende tuko naye.
Mkopohiyo pesa ni mkopo au bure?
Huyo changu yuko ChamwinoUko naye wewe na malaya wenzio
NSSF ...Kiongozi salama huko au umepinduka na mtumbwi baharini?!!!
Ugaiwe ili ukavutie bangi?Pesa yenyewe ni kidogoo hata meiweza angeweza kutugawia tu
25T zipi hizo?Wanapiga mayowe kwa 1.3T huku wakiziachia 25T watu wakizipiga.