Waziri Mkuu kuongoza swala ya Iddi Mnazi mmoja

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
CmlIka6WgAAQAFu.jpg:large

Waziri mkuu bwana Kasim Majaliwa anatarajiwa kuongoza swala maalumu ya Idd itakayofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja.

Kwa ninavyomjua huyu mheshimiwa na yeye ni mzee wa matamko. Maana katika lile suala la sukari alishatoa matamko tofauti zaidi ya Mawili.

Sasa sijui ujumbe wa Idd utakuja na tamko gani..stay tunned
 
keshatoa moja tayari la Shisha kuwa marufuku.
 
Hawa jamaa kila mahali kujipenyeza na pomp and ceremony . Akihudhurua kimya kimya shida ipo wapi?
 
Back
Top Bottom