Waziri Mkuu kuongoza swala ya Iddi Mnazi mmoja

Majaliwa amejaaliwa. Ni "mswahili" anayependa waromani.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa akibusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Ijumaa April 25, 2016

p6.jpg

HA4.jpg

img_1018.jpg


Waziri-Mkuu-Kassim-Majaliwa-akiwa-na-watoto-wadogo-kuliko-wote-walioshiriki-katika-Mashindano-ya-Kuhifadhi-Quran-Tukufu-ya-Kimataifa.jpg
Kanzu yoyote anavaa
 
CmlIka6WgAAQAFu.jpg:large

Waziri mkuu bwana Kasim Majaliwa anatarajiwa kuongoza swala maalumu ya Idd itakayofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja.

Kwa ninavyomjua huyu mheshimiwa na yeye ni mzee wa matamko. Maana katika lile suala la sukari alishatoa matamko tofauti zaidi ya Mawili.

Sasa sijui ujumbe wa Idd utakuja na tamko gani..stay tunned
Una hakika na ulioyaandika? Sala ya IDD ya kitaifa wakati wote na duniani kote inaongozwa na viongozi wa juu wa dini kama vile Mufti au Sheikh Mkuu. Viongozi wa siasa huwa waalikwa au kuwa mgeni rasmi!
Sahihisha upotoshaji
 
Ilivyo ni kwamba waziri mkuu hatashiriki wala kuongoza swala ya idd wakati wa asubuhi yeye atakua mgeni mualikwa kwenye baraza la idd ambolo hufanyika jioni au mchana baada ya swala
 
BAKWATA ni sehemu ya serikali kumwalika waziri mkuu ni haki yao kwani historia inaonyesha hakuna mtume yeyote aliekuja na kushirikiana na serikali isipokua uadui leo ukiona wanadini na serikali wanaelewana tia shaka
Yani watu kama nyie ni wa kutilia shaka msiokua na jema dunia hii mnadha ahera ya kwenu peke yenu oh shauri yako
 
Sheria inataka uthibitisho beyond reasonable doubt kama vile Kijiti kinavyozama kwenye kidawa cha wanja ( Ushuhudie mzigo unapigwa sio umewakuta watu wanatoka chumbani ukaanza kujenga imagination na kuhukumu). jee unajua hekima ya kuweka ushahidi mzito wa namna hiyo? lengo kuacha hisia mbaya mbaya kwa watu.
Mbona wanistahajabisha mimi nimetoa hukumu shahidi ni wewe uliesema wanaishi kindoa na mkatoliki kwa mujibu wa uislam unasema haumtoi sasa inakuaje useme inahitaji ushaidi katika uislam ili hukumu itolewe ushaidi upo wa namna mbili tu 1 mumkute yupo live kwenye tendo hilo au akili mwenyewe kama yule mnigeria AMINA LAWALI sasa muheshimiwa anakili mwenyewe kuwa ni mkewe sasa wahitaji ushahidi gani
 
Mbona wanistahajabisha mimi nimetoa hukumu shahidi ni wewe uliesema wanaishi kindoa na mkatoliki kwa mujibu wa uislam unasema haumtoi sasa inakuaje useme inahitaji ushaidi katika uislam ili hukumu itolewe ushaidi upo wa namna mbili tu 1 mumkute yupo live kwenye tendo hilo au akili mwenyewe kama yule mnigeria AMINA LAWALI sasa muheshimiwa anakili mwenyewe kuwa ni mkewe sasa wahitaji ushahidi gani

Rudia Comments za juu ujiridhishe ni nani aliandika hayo ya Ndoa ya Kikatoliki.Misngi wa nilichokueleza ni kuwa Mtu hatoki kwenye Uislam kwa kosa la Zinaa kama mtu mmoja alivyoandika, japo zinaa ni mbaya sana kwa mujibu wa Uislam. unatoa Mfano wa Amina Lawal kuhukumiwa kwa kosa la zinaa lakin unaacha kuandika kuwa Alipokata rufaa alishinda rufaa hiyo. Uislam unaendeshwa kwa kanuni na Sharia sio fikra za kibinadamu na mihemko.
 
Back
Top Bottom