Kwahio sasa hivi nchi ipo chini ya nani?Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali;cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi!
Ziara na misafara imekuwa mingi na ya kila siku. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kiuchumi, lakini angalau zionekane jitihada za pamoja na za wazi, katika kubana matumizi yasiyo ya lazima!
Tukumbuke, 'ngoma ikilia sana, mwishowe upasuka!'
Mtaani hali ni mbaya, mfumuko wa bei ni wa kasi kubwa! Wananchi wengi wanalalamika!
Hakuna anayeonesha kusikiliza kilio chao!
'Ee Mwenyezi Mungu, tunakuomba uwajalie viongozi wetu utu na huruma kwa wananchi wanaowaongoza" Amen!
MwiguluKwahio sasa hivi nchi ipo chini ya nani?
Tulia ackson(PhD) au?
Ohoo🤣Mwigulu
Utasikia kesho kutwa Tulia Ackson naye anasepa na nchi itabakia chini ya Jaji.Kwahio sasa hivi nchi ipo chini ya nani?
Tulia ackson(PhD) au?
😩😩😩Utasikia kesho kutwa Tulia Ackson naye anasepa na nchi itabakia chini ya Jaji.
Hii utaendelea mpk nchi ibakie chini ya kamanda Muliro
Tozo zetu zinachezewa sana
Acha gubuLabda kama wamerudi kimya kimya!
Kiukweli, nawaza nini kinaendelea kwenye hii nchi! Ni kama mwili usio na kichwa, imebaki tu kiwiliwili.
Aisee!
Mfumo wa ujamaa wala haupo hivyo,rc anatembelea gari la m 500 halafu unasema mfumo wa kijamaa,huu mfumo wa kivyao vyao walamba honeyMfumo mbovu wa Ujamaa umeharibu uchumi na kuongeza ugumu wa maisha.
Nchi yetu Ni salama na IPO katika mikono salama wakati wote, Tanzania chini ya serikali ya CCM Ni salama na ndio maana wananchi wameendelea kuwa na Imani na CCM na kuweka matumaini katika chama hiki kimbilio la wanyonge,Utasikia kesho kutwa Tulia Ackson naye anasepa na nchi itabakia chini ya Jaji.
Hii utaendelea mpk nchi ibakie chini ya kamanda Muliro
Tozo zetu zinachezewa sana
Gubu haliachwi hadi nitakaposikia tamko la kusitisha tozo za uonevu!Acha gubu
Acha kukera watu basi wewe uvccm.Nchi yetu Ni salama na IPO katika mikono salama wakati wote, Tanzania chini ya serikali ya CCM Ni salama na ndio maana wananchi wameendelea kuwa na Imani na CCM na kuweka matumaini katika chama hiki kimbilio la wanyonge,
Mfumo wa ujamaa wala haupo hivyo,rc anatembelea gari la m 500 halafu unasema mfumo wa kijamaa,huu mfumo wa kivyao vyao walamba honey
Wanyonge wenye "vieite"?Nchi yetu Ni salama na IPO katika mikono salama wakati wote, Tanzania chini ya serikali ya CCM Ni salama na ndio maana wananchi wameendelea kuwa na Imani na CCM na kuweka matumaini katika chama hiki kimbilio la wanyonge,
Hapo mkuu, hujataja mawaziri, makamishna, makatibu wakuu na misafara yao!Ukisikia kupatwa kwa Tanzania ndiyo huku sasa! Rais alikuwa Uingereza kumzika Malkia! Alipotoka huko akaunganidha Msumbiji!! Wakati huo hjo Makmu akapaa kwenda kwa Joe Biden kuhudhuria mkutano wa UNGA!
Wakati hao viongozi wawili wajuu wakiwa bado wapo nje ya nchi, na PM naye anapaa!! Muda si mrefu na Spika naye atatafuta kamtoko kake!! Yaani mambo ni bam bam kwa sasa.
Nasema hivi nchi yetu siyo kisiwa Ni lazima tushirikiane na wenzetu kugawana fursa za kiuchumi na kibiashara kwa maslahi mapana ya mataifa yetu, unafikiri sisi vijana tutapata wapi ajira Kama serikali isipovutia wawekezaji watakao Jenga viwanda na kuwekeza katika nyanja tofauti tofauti zitakazozalisha ajira kwetu vijana, lakini pia hata uchumi ukikua ndipo serikali inapokuwa na uwezo wa kutoa ajira nyingi zaidi ambapo sisi vijana ndio wanufaika wa kwanzaAcha kukera watu basi wewe uvccm.