Waziri Mkuu, hivyo vibanda ni vingi

Waziri Mkuu, hivyo vibanda ni vingi

Mtu anapiga kelele eti tumeibiwa Tsh 11 wakati yeye yupo kwenye vi eti la 450 m na ni msafara wa kutosha yaani ni sawa na kwenda kumkamata mwizi wa dagaa wakati wezi wa Samaki wapo nao na wapo kimya...waanze wao kupunguza matumizi makubwa hawa wa chini wataogopa kazi kwa vitendo...
Mkuu kwa mtu anayejua kanuni za ujenzi wa majengo ya serikali...hapo hakuna wizi hata kidogo.
 
Mbona wale walipiga mabilioni kwenye ripoti ya CAG wao hawachukuliwi hatua?
 
Huyo mkandarasi wa kibanda cha idara ya maji yawezekana katoa mgao kwa wakubwa ndo maana siyo ishu.

Ama kampuni iliyojenga ni ya mkubwa.
 
Mkuu kwa mtu anayejua kanuni za ujenzi wa majengo ya serikali...hapo hakuna wizi hata kidogo.
Hawafati kanuni wanaiba ila yapo majengo mengi wanafata kanuni nimeona bara bara ya lami moja Mbeya Isyesye kule ni mpya niliiacha inajengwa ila nimepita tena juzi hapo nimeona ishabomoka bomoka...walijenga kwa kiwango cha chini sana mkuu..na ukikibomoa hicho kijengo utakuta hata sehemu za kuwekwa Nondo hazijawekwa au wameweka za mm ndogo zaidi..
 
Back
Top Bottom