Waziri Mkuu Atakayefanye Vurugu Atakiona Cha Mtema Kuni

CCM ndiyo waleta fujo sasa Mbona hawajakiona cha mtema kuni?
 
Kwani wanashindana na nani
 
Majaliwa amenikumbusha kauli iliyowahi kutolewa na bwana Mizengo Pinda.
 
Hawa watu ni wapumbavu, wanafanya kampeni za nini wakati wameshapita bila kupingwa! Pumbavu kabisa!
 

Mkuu huwa hawasemi tu, ni kwa sababu wana habari za kuaminika kutoka kwa intelligence sio bure. Wewe lala salama wenye yao wanajifahamu. Tupo kwenye key boards hapa kwa sababu nchi ni salama.
 
Kasimu Majaliwa achana na siasa za kichovu , kama vyama vyote vimejitoa kampeni za kazi gani ?
 
Mkuu huwa hawasemi tu, ni kwa sababu wana habari za kuaminika kutoka kwa intelligence sio bure. Wewe lala salama wenye yao wanajifahamu. Tupo kwenye key boards hapa kwa sababu nchi ni salama.
Hakuna lolote wanahaha kuhalalilisha uchaguzi haramu uonekane halali.
 

Hawakuisikia hutuba ya Mkapa juu ya uwongozi na dowa
 
Hivi kwa nini maccm yanapenda kupandikiza hofu kwa wananchi? Tumewaachia mzoga wenu wa nguruwe mle wenyewe sasa vitisho vya nini?Mumenunua silaha za kutuumiza mumetukosa sasa mnalazimisha kuzitumia. Sisi tutakuwa majumbani kwetu labda mtufuate huku na ndiyo patachimbika. Kuleni wenyewe haramu yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…