Waziri Mkuu apiga marufuku kusafirisha chakula nje, ukipewa kibali basi safirisha unga sio mahindi

Hawa wanaoishi kwa taabu hawatakiwi kuuza mahindi sasa hivi!Maana wanalaliwa bei, trust me hakuna mkulima anayepeleka mahindi Kenya!Hao ni middle men wanaolalia bei wakulima wetu!

...Ni hivi kukiwa na soko la uhakika be it Kenya, Somalia or Europe it means mkulima atapata soko la uhakika la mazao yake. Kazi ya serikali ni kusimamia na kuweka utaratibu mzuri kwenye magulio ili middle men wasiwalalie baas. Kumbuka hakuna biashara bila ya hao middle men wenye mitaji, na si wakilima wote wenye uwezo wa kupeleka mazao kariakoo or elsewhere.
 
Bavicha hamna jema ,ukitokea upungufu kidogo wa chakula mnataka Rais atangaze baa la njaa ,akidhibiti chakula mnalalamika hivi mkoje upstairs?
Mkuu acha ushabiki,, huko nikuzibiti jaa au nikuwazibiti wakulima wasiuze mazao yao?,tunajuwa wote kwamba tanzania haina masoko ya kuwahudumia watz, asilimia kubwa tunategemea masoko ya nje kw kujipatia walau mahitaji,, serekali ili ili paswa kutambua na sio kulopoka, wananchi wasiuze mazao je serekali imeandaa masoko wapi?* sukari pakaleo imekuwa janga la kitaifa, kw ajili ya kulopoka ovyo hovyo, uongozi hauhitaji nguvu kubwa ni akili itumike, aiseee majitu ya ccm makopo kabisa
 
Naona Polisi wa mikoa ya mipakani wanatanuliwa wigo wa Rushwa zaidi
Ukishatishwa Fuso yako itataifishwa lazima uvunje kibubu hata nyumbani washindie uji mwez mzima urudishe gar yako. Unapigwa kama mil 10 hivi unakuja kupanfa foleni ya watu tunaosoma hisabati.

Sema utakua umechelewa topic. Tumemaliza namba za kirumi saivi tupo za kiebrania
Haha,

Nakuona nakuona bro!
 
Waliambiwa kuna njaa na walikataa sasa wanaanza kuelewa kenge hawa na kama kawa mkulima ndio easy target.
Ikikutwa bangi shambani ni yako, lakini Ikikutwa dhahabu ni ya jamhuri.
 
hapa ndipo linapokuja suala la kwamba "shamba lako lakini mazao ni ya serikali" we komaaa wee lakini mwishowe utayauza jinsi watakavyo wao na si wewe mkulima.
 
Shamba lako, hata kama ulikodi sawa tu ila ulitumia kwa pesa zako kugharamia vibarua..mbegu..mbolea..palizi..na mahangaiko yote mwenyewe sasa kwenye kuuza mavuno yako serikali inaingilia na kukupangia soko haiingii akilini hata kidogo..
Kuna wakati ninahisi kama watanzania tuna laana fulani ya kupenda kulalamika hata kwenye mambo ambayo hayana msingi.
Hivi inapotokea janga la njaa tunamlilia nani???? mnataka bidhaa za chakula zitoke kiholela bila kujali hifadhi yetu ni kiasi gani halafu iweje?
Halafu hili suala la kuuza mazao kwa kibali, mbona ni jambo la kawaida tu kwani nchi nyingi hufanya hivyo.
Hata hivyo bei ya kuuza mahindi kwa mfano kenya na bei ya kuuza unga ipi inafaida kubwa kwa mkulima?
 
Mimi naona serikali iweke mahusiano mazuri na wakulima toka wanaandaa mashamba mpaka mavuno sio kukataza kuuza tu
 
Back
Top Bottom