MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Startv News today 25th September 2013 time 8.00pm.........Tuwekee picha la sivyo Futa Delete Kabisa.
Usanii mwingine wa TISS na ccm unakuja. Hakuna tiba hapo.
Mrema alitumika kwa nafasi yake ya u-tiss akadai kapona kisukari mbona anazidi kuchoka tu kila kuukicha?? Aua anatumia carolite?? Aua laana ya usaliti??
Huyu babu ningekuwa presda ningempiga marufuku na kumfunga jela mara moja.