dharau kweli kweliIla misaada mingine ni dharau..yaani mtu anajipanga kwenda kumpa waziri mkuu cherehani 25???
3m ukiwa tz yatosha kuanzisha viwonder120,000×25=3,000,000
Kabisa mkuuu, tena presentation yake ni ya madharau kwelikweli. Ilitakiwa hiyo cherehani iwekwe kwenye boksi lake ndio ikabidhiwe sio waziwazi namna hiyo. Washauri wa itifaki wamechemsha vibaya hapo!Ila misaada mingine ni dharau..yaani mtu anajipanga kwenda kumpa waziri mkuu cherehani 25???
Cherehani kimoja laki mbili mpaka mbili hamsini (VAT included)Hivi cherehani moja mpya inaweza kuwa bei gani kwa sasa?