Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,985
Picha ikimuonyesha waziri mkuu wa uingereza bwn cammeron akimsindikiza mwanae mdogo shule chekechea kabla ya kwenda kazini.
tofauti na hiku kwetu ukiwa diwani tu,unaajiri dereva wa kuwapeleka watoto shule
well said mkuu! naskia ata mwenyekiti amatelekeza familia piaslaa hata hajui watoto wake kama wamekwenda shule,wanaumwa,wamekula.amemwachia rozi huku anaponda raha na jose then anataka kulea taifa huku familia imemshinda!
Waingereza mabahili wa kutupwa.
Huku kwetu riziki majala! Tanzania kidogo diwani unachopata unagawana na dereva ili na mtoto wa dereva naye mwanae aende chekechea pia!
slaa hata hajui watoto wake kama wamekwenda shule,wanaumwa,wamekula.amemwachia rozi huku anaponda raha na jose then anataka kulea taifa huku familia imemshinda!
Hata mwenyekiti wenu ametelekeza watoto, toeni boriti kwenye jicho lenu kwanza kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio. Hata Nape kama hakutelekezwa ungekuta amesoma shule nzuri tu na kuacha kubwabwaja hovyoslaa hata hajui watoto wake kama wamekwenda shule,wanaumwa,wamekula.amemwachia rozi huku anaponda raha na jose then anataka kulea taifa huku familia imemshinda!
Picha ikimuonyesha waziri mkuu wa uingereza bwn cammeron akimsindikiza mwanae mdogo shule chekechea kabla ya kwenda kazini.
tofauti na hiku kwetu ukiwa diwani tu,unaajiri dereva wa kuwapeleka watoto shule
slaa hata hajui watoto wake kama wamekwenda shule,wanaumwa,wamekula.amemwachia rozi huku anaponda raha na jose then anataka kulea taifa huku familia imemshinda!
slaa hata hajui watoto wake kama wamekwenda shule,wanaumwa,wamekula.amemwachia rozi huku anaponda raha na jose then anataka kulea taifa huku familia imemshinda!
slaa hata hajui watoto wake kama wamekwenda shule,wanaumwa,wamekula.amemwachia rozi huku anaponda raha na jose then anataka kulea taifa huku familia imemshinda!
Hata mwenyekiti wenu ametelekeza watoto, toeni boriti kwenye jicho lenu kwanza kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio. Hata Nape kama hakutelekezwa ungekuta amesoma shule nzuri tu na kuacha kubwabwaja hovyo